makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Nimekubamba.. Ndio vitu vyakoππππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekubamba.. Ndio vitu vyakoππππππ
Ila we financial wewe..Makaveli weweππππ
You're so fun unavyosimuliaππNimefanyaje financial ππ
π€£ππ€£
Kwanza mbona ule mzigo wangu hujanitumia wa Jamaican πKweli vile, we nae unaleta ngumu, mabishano yanazidi tunachelewa kuongeza jamii yetu
π
Tena wakati mwingine wala hambanduki, yaani mpaka mnakuja kuamka asubuhi kajitu kamejikunyata kifuani kwako, umemkumbatia.Kugandiana ni raha lkn, kulala kifuani kwa mtu kama mtoto vileπ, ila mkipitiwa usingizi kila mtu anajitupa kivyakeππ
Akuuu πππNimekubamba.. Ndio vitu vyakoπ
Umeona sasa unaanza kurusha, mzigo upo njoo uchukue mwenyewe πKwanza mbona ule mzigo wangu hujanitumia wa Jamaican π
Ujue sikuelewi Maka
Akili imekusoma, ndio mambo yako πAkuuu πππ
Hahaa.. Halafu hapo ndio Nipo serious πYou're so fun unavyosimuliaππ
πππ Mtume bodaUmeona sasa unaanza kurusha, mzigo upo njoo uchukue mwenyewe π
Ebhanaeeeeee ππ₯π₯π₯π₯Mlipo kuna joto sana nini? Washeni feni tena mi napenda ile nimelala nikishtuka nikute mkono kiunoni au kifuani ama namgusisha kota kwenye dick yake basi ndo maana halisi ya wapenzi
Me sipendi hivo vitu, sema napenda unavyoelezea kwa msisitizo πππAkili imekusoma, ndio mambo yako π
Nimecheka basi tuUtasikia, geukia huku basi[emoji23]
Ushawahi kumuona samaki anarudi reverse!?πππ Mtume boda
Hahaa... Haya sawa. ππ€£Me sipendi hivo vitu, sema napenda unavyoelezea kwa msisitizo πππ
Eti akaushika akaupachika π€£π€£π€£
πππ Makaveli muhuni sana wewe!!Ushawahi kumuona samaki anarudi reverse!?
We njoo uchukue, wakati tunanyonga cha jamaika, tunatest mzigo huku tunaongelea suala la jamii yetu ya group O
Dah ebhanaeeee ππ₯π₯π₯π₯π₯π₯Hizi mvua za juzi na kaubaridi kazi ilikuwa ni hii
View attachment 2807961
Hao sio wanangu kabisaaπππ Makaveli muhuni sana wewe!!
Una udugu na Side mnyamwezi au MacMuga?
Au mtoto Iddi?
Ewaaa, hapo ndipo burudani ilipo, yaani huwezi kuota unakimbiza na zombie hapo, πHizi mvua za juzi na kaubaridi kazi ilikuwa ni hii
View attachment 2807961