Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

Kugandiana ni raha lkn, kulala kifuani kwa mtu kama mtoto vile😘, ila mkipitiwa usingizi kila mtu anajitupa kivyakeπŸ˜€πŸ˜€
Tena wakati mwingine wala hambanduki, yaani mpaka mnakuja kuamka asubuhi kajitu kamejikunyata kifuani kwako, umemkumbatia.
Kwangu as a man najisikia burudani mnoo, haielezeki.
 
Mlipo kuna joto sana nini? Washeni feni tena mi napenda ile nimelala nikishtuka nikute mkono kiunoni au kifuani ama namgusisha kota kwenye dick yake basi ndo maana halisi ya wapenzi
Ebhanaeeeeee πŸ˜‹πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Makaveli muhuni sana wewe!!
Una udugu na Side mnyamwezi au MacMuga?
Au mtoto Iddi?
Hao sio wanangu kabisaa
Hebu njoo ghetto tusikilize ngoma ya ngwair huku tukipractise vitu vyote vi3.
Mitungi, cha jamaica na mikasi.
πŸ€£πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom