Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

Hao sio wanangu kabisaa
Hebu njoo ghetto tusikilize ngoma ya ngwair huku tukipractise vitu vyote vi3.
Mitungi, cha jamaica na mikasi.
🤣😂
Afu me nakua Raha P au siyo? 😂😂😂
Achana na wamatumbi njoo huku tuwasikilize wanyamwezi Jigga na baby mama wake Bey drunk in love 🥰
 
Afu me nakua Raha P au siyo? 😂😂😂
Achana na wamatumbi njoo huku tuwasikilize wanyamwezi Jigga na baby mama wake Bey drunk in love 🥰
Ewaa.. Hapo wamatumbi waliuwa saana, ngoma hiyo ni bomba huku nyasi zinachomwa huku mikasi inaendelea.

Poa njoo na ngoma zako nami nakuja na zangu
Me n my girlfriend ya pac
How do you want it
F*ck ya tonight ya big poppa.
 
Labda mwanamke wako mchafu au huna mzuka nae ulimuoa ili mradi tu usikose mke, ila pisi kali mzee hasa kipindi hiki cha mvua na kiubaridi unaanzaje kujifunika shuka lako mwenyewe.

Miguu yangu katikati ya mapaja yake na nido zake zinanichoma choma
Nishamjua ananido poa sana nazikubali
 
Back
Top Bottom