Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Weka hapa kitaa chetu pendwa ๐๐๐N
Njoo mtaani, utaniona utanifotoa na photo kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka hapa kitaa chetu pendwa ๐๐๐N
Njoo mtaani, utaniona utanifotoa na photo kabisa.
Bado hajasema....Bado embu sema tena [emoji1]
Utaweka wewe ukishanifotoa.. Niweke nini sasa na picha sina๐Weka hapa kitaa chetu pendwa ๐๐๐
Huyo amekusudia wapenzi au wanandoa sio Yale mambo yetuHata mimi siwezi kulala kama nitagusana na mtu, ila huwa tunakumbatiana mwanzoni akilala yeye, nageukia upande ambao nipo comfortable.
Kuna kitu nilitaka niseme lakini basi sahau kuhusu hiloNgoja kwanza nicomment chochote kisha nirudi kusoma uzi.
Haki ya Mama nimecheka sana na hiyo title.. kwamba wanalala kwa kugandiana??
Broo ni raha sanaa
Kulala umejilaza kifuani mwa mtu [emoji7]
Napajua pa kukupa haya maoni b... inategemea na utayari wako sasa kwenye hili. LolHalafu nilitaka kweli niyaone maoni yako ktk hili bโฆ
PiscesUmeoa wa nini kaka, are you not scorpio [emoji756] [emoji853]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata mimi sipendi ni basi tu, uzuri siku hizi kuna 6x6 na wenye uwezo zaidi hata 6x7 zipo.
NaaamMlipo kuna joto sana nini? Washeni feni tena mi napenda ile nimelala nikishtuka nikute mkono kiunoni au kifuani ama namgusisha kota kwenye dick yake basi ndo maana halisi ya wapenzi
Ukinipa utamu hakuta kuwa na uhusiano wowote na kuoa..!!UOE mtani wangu
Basi endelea kudindaUkinipa utamu hakuta kuwa na uhusiano wowote na kuoa..!!
#YNWA
Hahaaaaa ndio ulalaji wa mtoto wangu wa kiume huo. Jamaa amemliza P7 sio anajikunja pia anapiga mateke kweli alalapo.Ila ile staili yangu pendwa ya kulala magoti yanagusa kifua alafu mikono ndo naifanya mto sitaweza kuiacha bila kulala hivyo sioni raha
Thibitisha kama ni kweli hilo usemalo?๐๐๐๐๐๐Kuna binti alikuwa hawezi kulala mpaka alalie kifuani. Sasa akilalia kifuani hapo kujigeuza unahofia kumuamsha.Inabidi upende tu kulaliwa, kwa sababu ndiyo mapenzi.
Ukilala mbali anakasirikaaa.