Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

Hili suala la kugandiana na mwanamke usiku wakati wa kulala kiukweli limenishinda maana nashindwa kabisa kupata usingizi.

Nishazoea kila mtu alale upande wake tena kila mmoja na shuka yake, masuala ya kushare shuka moja pia siyawezi.
At the end naambiwa siko romantic!

Mnaoweza haya mambo hebu tuambieni huwa mnafanyaje?
Hata Mimi nilishashindwa nallaa upande wangu ,nikimtaka ndio namsogelea.

Biashara ya kupumuliana ilishaniahinda au mwingine unakuta ana joto sana Sasa Mimi Huwa siwezi na in fact ukiweza jifunika shuka lako ni nzuri zaidi.
 
Back
Top Bottom