Queen Kan
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,226
- 8,961
Sasa kiyoyozi unakipata wapi au unamlinda mheshimiwa sana......uzee unakujia vibaya sana sikuhiziNdio maana wataalam wakatengeneza viyoyozi. Ila mgandishwe kwa supagluu
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app