Dadamtu
JF-Expert Member
- Sep 10, 2023
- 502
- 1,093
🤣🤣🤣🤣,Alooooh,,kabla ya safari anajikabidhi lakini?Hapana. Tukimaliza tendo takatifu, tunapiga magoti na kumshukuru Mungu kwa kutufikisha salama kileleni. Kutuepusha na mabalaa ya vifo vya presha. Na tunamshukuru sana kwa kutowahi kumaliza safari kabla jinsia KE haijapata haki yake ya kunaniliu...