Mnapata wapi nguvu za kumfananisha mchezaji anayekiwasha michezo ya nje na ndani na huyo anayeonekana kwa Mkapa tu?

Mimi ninachofahamu mashabiki wengi wa simba ni mbumbumbu, na hawajielewi! Yaani leo timu ikifungwa tu au kutoa sare, utawasikia wakipiga makelele ya kumkataa Chama, Matola, Mangungu na Try Again!

Halafu kesho ikitokea timu ikashinda, wanahamia kwenye kuwasifia hao watu! Na siyo kuwakataa.
 
HAO NI MAZWAZWA ALISHASEMA TRY AGAIN
 
Simba walivyokandwa 5 na chama wao walisema Chama aliuza mechi
Na walifikia eti mpaka hatua ya kumsimamisha na kumporomeshea maneno lukuki ya kejeli!

Walivyoona mambo yanaanza kuwaelemea, wakamfuata kwa siri na kumlamba miguu ili tu arejee kikosini na pasipo na masharti, kuokoa jahazi lililoanza kuzama!! 😁
 
ORODHA YA WACHEZAJI WALIOFANANISHWA NA CHAMA.

1. HARUNA NYONZIMA.
2. SAODO NTIBAZONKIZA.
3. FEISAL SALUM.
4. AZIZI KI STEPHEN.
5. MAX NZEGELI.
6. PAKOME ZIZUUU.
7.....
8........
100....
AZIZ K ALISHINDA TENA WEKA MBALI NA HUYO KOBE
 
KWELI KABISA MKUU.
 
Sijui hata kama unafahamu maana ya neno consistency,Mwaka 2016 Chama aliipeleka Zesco nusu fainali klabu bingwa,Ulizia Pacome alikuwa wapi mwaka huo?mwaka huo huo aliifunga Al Ahly magoli mawili peke yake hatua ta makundi,Al Ahly ni timu ndogo?Amewafunga AS Vita iliyo iliyokuwa bora ya akina Makusu,Ngoma,Bangala,Nkana,Yanga wote amewafunga.Kwenye orodha ya wafungaji bora wa muda wote anashika nafasi ya 8 akifunga magoli 18,na ni yeye pekee anayeendelea kucheza Afrika
 
Akiwa Zesco katika michezo 15 alifunga magoli manne lakini unavyompamba utadhani alifunga magoli 100
 
2015/16
 
Nyie si mnadai anazifunga timu ndogo,nimekwambia ameifunga Al Ahly goli 2,Al Ahly ni timu ndogo?ameifunga Yanga kwenye 4-1,utopolo nayo timu ndogo?Hatumpambi,amejipambanua kuwa yeye ni bora ndio maana hamuachi kumlinganisha na wachezaji wenu,kama ni rahisi kuingia top ten ya wafungaji bora wa muda wote niambie ni mchezaji gani wa utopolo yupo hata top 20?Halafu huyo Pacome aliisaidia vipi Asec kucheza japo makundi klabu bingwa?
 
Afikishe sasa hizo goli 18 ndio muanze kumlinganisha,unafikiri kuingia makundi ni rahisi kiasi kwamba unadhani atafunga kila mwaka?ingekuwa rahisi hivyo Yanga wasingechukua miaka 26 kuingia makundi.
 
KWANI SAIVI CHAMA KAACHA KUCHEZA/AMESTAAFU!?

SI YUPO KWENYE LIGI HII AMBAYO PACOME YUPO KWA NIN HUTAKI KULETA STATISTICS ZA CHAMA WALA HUTAKI KUONGELEA

NA KWA NINI HUTAKI KUKUBALI KUWA PACOME NI BORA KWA SASA KULIKO CHAMA.?!
 
Mkuu sikutegemea hii iwepo kwenye akili yako
HALAFU ANASAHAU ANA BEKI ANAYEMUAMINIA SANA HATA KUKOSEA TU KUITWA HAJAITWA WAKATI HUKU WANAMUIMBA NI UKUTA WA YERICKO

CHE MALON FONDO.

UKIJA DIMBA LA KATI WANAMTEGEMEA SADIO NA NGOMA HAO WOTE HAAWAJAITWA LAKINI KAZI YAO NZURI
 
UKIZUNGUMZUMZIA HATUA ZA AWALI UNATAKA NA SISI TUANZE KUHESABU MAGOLI YA ZILE TANO TANO?!

DAH UNZINGUA SANA HUTAKI KUKUBALI KUWA PACOME NI BORA KULIKO CHAMA.
Magoli ya hatua za awali huwa hayahesabiwi kwa vile CAF wanaamini kule vibonde wengi,makundi ni hatua ngumu ndio maana utopolo imewachukua miaka zaidivya 25 kuingia tena
 
Magoli ya hatua za awali huwa hayahesabiwi kwa vile CAF wanaamini kule vibonde wengi,makundi ni hatua ngumu ndio maana utopolo imewachukua miaka zaidivya 25 kuingia tena
UMEISHIWA HOJA
 
KWANI SAIVI CHAMA KAACHA KUCHEZA/AMESTAAFU!?

SI YUPO KWENYE LIGI HII AMBAYO PACOME YUPO KWA NIN HUTAKI KULETA STATISTICS ZA CHAMA WALA HUTAKI KUONGELEA

NA KWA NINI HUTAKI KUKUBALI KUWA PACOME NI BORA KWA SASA KULIKO CHAMA.?!
Wametofautiana goli 2 tu na unao kitu kikubwa,Pacome yuko kwenye form lakini class ya Chama bado hajaifikia,kumbuka form is temporary but class is permanent.
 
Nimeshindwa hoja vipi na wewe hujui chochote,au unafikiri magoli ya hatua za awali yanahesabiwa?yaani magoli dhidi ya Zalan yahesabiwe?
MIMI NIMEKUULIZA NINI NA WEWE UNAJIBU NINI?!

AU UNASINZIA?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…