Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Shida inakuwa nini au ni imani tu nyie wapambanaji nao mna mashariti sanaUkiwajulisha tu, hufanyi kitu kikafanyika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida inakuwa nini au ni imani tu nyie wapambanaji nao mna mashariti sanaUkiwajulisha tu, hufanyi kitu kikafanyika
Watu wana roho mbaya sana. Unapata mali unaficha? Ili iweje?Hapa home kuna kiwanja kama nusu eka sijamwona mwenyewe mwaka wa 6 sasa . Nalima mihogo tu. Wanadamu wengi ni wajinga sana. Mtu anaficha mali utadhani roho, huyu jamaa sijui kafa
Mpaka nawaza nipige ukuta hichi kiwanja cha jirani. Ni bonge la eneo mwenye simjui na hajaja miaka mingiWatu wana roho mbaya sana. Unapata mali unaficha? Ili iweje?
Roho mbaya haijengi. Sasa ni hasara tupu
Nayeye aendelelee kuwa haiKitaalam tunaita Kufa kufaana
Piga ukuta, akiona ukuta akili zita rudi utamuonaMpaka nawaza nipige ukuta hichi kiwanja cha jirani. Ni bonge la eneo mwenye simjui na hajaja miaka mingi
Huu ni ukweli mtupuWakuu Habari zenu.
Kuna jirani yangu huu mwaka wa 12 haonekani na namba yake ikawa haipatikani mpaka Sasa ukipiga amepewa mtu mwingine kabisa. Sijui nini kimemkuta ila Kwa asilimia kubwa atakuwa amefariki.
Kipindi nahamia kwangu, alikuwa hajaanza ujenzi na baada ya mda akaanza ujenzi wa Bangaloo lake, alikuwa na uwezo na alijenga jumba la kifahari haswa na mafundi aliotumia aliniomba nimuunganishe wale walionijengea.
Nyumba ikiwa hatua za mwisho hii ilikuwa October 2012 jamaa akapotea, simu ikawa hazipokelewi baada ya mda hapatikani kabisa, Hakuna mtu anaejua alikuwa anakaa wapi, site tulizoea kumuona akiwa mwenyewe.
Na viwanja vilikuwa Bado havijapimwa kipindi hicho, hata Ardhi hamna detail zake.
Nyumba yenye thamani ya zaidi ya Tsh 300m inapotea pasipo ndugu kujua.
Kuna mwingine ni mwanajeshi mstaafu alinunua bonge la pori Goba - Dsm kipindi Cha zamani, Hakushirikisha familia japokuwa alikuwa na mke na watoto wakubwa sana.
Alimuachia mamlaka yote ya uangalizi wa eneo balozi wa ule mtaa, Mwaka Juzi alianza kuuza lile eneo lake baada ya kulipima, Kipindi hicho alikuwa anaumwa Yuko Nairobi, mimi nilipelekwa na Dalali nikiwa natafuta kiwanja. Unapitia Kwa Balozi unaongea akiwa Nairobi anakupa Account unalipa mnaandikisha na Balozi Kwa niaba yake, Yule Mzee sijui Nini kilimkuta alikuwa anauza viwanja Kwa bei ya chini sana sqm moja Kwa Goba alikuwa anauza Tsh 45,000/=
Nilinunua baadhi ya viwanja pale, na Bado ananidai 30m
Mwaka huu tumepata taarifa kafa nashindwa kuitafuta familia yake kuwaambia kwamba baba yao anaidai maana wanaweza kuanziaha mgogoro, Japo mke wake yupo na watoto wake.
Tulinunua maeneo Yale wote tulishabadilishq umiliki
Alikuwa na bonge la eneo hekari 10 zinafika, mjumbe kafaidi huku mke na watoto hawajui Chochote.
Wakuu tunapofanya maendeleo tujitahidi familia zijue hata kama Kuna ugomvi kiasi gani, basi kama sio mkeo Tafuta ndugu mnaoelewana waoneshe, Hatujui kesho yetu, Kuna Vifo vya ghafla.
Huyu Kwa asilimia kubwa atakuwa kashakufa. Nyumba nimebaki naipalilia Mimi Kwa sababu ni Jirani yangu ili isiwe sehemu ya kutumza wadudu. Raia wanajua ni yangu
We endelea kulima tu na kujivunia mihogo.Mpaka nawaza nipige ukuta hichi kiwanja cha jirani. Ni bonge la eneo mwenye simjui na hajaja miaka mingi
Sawa. Ngoja niendeleze ukulima hapaWe endelea kulima tu na kujivunia mihogo.
Hii inaitwa Kufa Kufaana,,,!!Sina sehemu ya uhakika ya kuishi mkuu.
Nakuona inbox tuone unavyoweza kunisaidia.
Nipo maramba mawili hapa
Mchawi ndugu. Kikulacho ki nguoni mwakoShida inakuwa nini au ni imani tu nyie wapambanaji nao mna mashariti sana
Mke wangu sio ndugu yangu, yeye anajua yoteNa wewe ile miradi yako Bagamoyo hujawajulisha Ndugu?
Je yeye Mke wako, miradi yake wewe inaifahamu?Mke wangu sio ndugu yangu, yeye anajua yote