Mnashangaa nini leo kuona CCM kumevurugika? Mimi si niliandika uzi hapa JF kuelezea mpasuko CCM mkanipuuza?

umesahau ya magufuli na akina makamba, kinana, tena kipindi cha magufuli mvurugano ulikuwa ni mkubwa kupita sasa hivi
 
Naunga mkono hoja ya Popoma,mbowe anacheka mpaka anajamba
 
Popoma usiejielewa wewe
 
Wahenga wanasema Nabii hakubariki kwaoπŸ˜ƒ
 
GENTAMYCINE kwanini mnapenda uchonganishi. Mara eti planning sijui imekuwaje mbona tiafa wimbo haujapigwa ai cop iishe, je u hali anaendeleaje. Ila kwa mienendo hii ya dodo kuiva na kudondoka hakika hakuna aliyesalama kwenye muembe maana dodo zingine zilikuwa na uhakika wa kusema hakidondoki kitu hapa hahaha matokeo yake ila sasa wengine wakaenda mbalo zaidi embe zilizobora huwa hazianguki kabisa hahaha kumbe kwenye huo mti hakuna tunda lililosalama kila tunda litaanguka hata lile ambalo ndiyo halijaiva. Yetu masikio na macho. Ila usisahau ni Mama tu Dkt Samia 2025!
 
Nitakuchapa kibao ebo!
 
Kwani kinara nae karuka makubaliano mpaka yajirudie ya 3/17? Koloni la kifalme siyo.
 
Vipi kuhusiana na supreme leader wetu. Toka tunazaliwa had leo yeye ndio mwenyekiti. Hio imekaaje?
Vipi wa CCM ambaye hajawahi kupigiwa kura ila anakuwa Mwenyekiti by default baada ya kuiba kura ya urais?!😑😑
 
embu eleza vizuri taratibu,

ulichokiona huko ndani ni kweli umeona mpasuko? au ni nyufa au mwanya?

maana kati ya hayo moja tu ndio hatari zaidi hayo mengine, ambayo ni kama mafua tu yanatibika hata kwa tangawizi na mambo yakawa shwari
 
mchefukoge πŸ˜…πŸ”₯
 
Umenikumbusha "Magamba Matatu"
 
Kuna mzee mmoja kule ccm anaheshimiwa ile shazi lakini tembo wa nchi hii kawafyeka hadi kanunua meli inaendelea kusafirisha mzigo. JPM alimwambia ole wake hata jino la fisi likamatwe jamaa akawa mpoooole
 
We sema uko jikoni unakula minyama ukishashiba ndo unatusambazia,,
 
haujawahi kuwa positive kwa jambo lolote la taifa
Mambo ya hilo chama la majizi ndio ya taifa?! Siwezi kuwa positive hilo chama la majizi likishajiingiza kwenye jambo lolote. Hutaki jinyonge.
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€” bwana mkubwa PASCHAL MAYALA sijui atakuja na bango la aina gani πŸ™„πŸ™„.
Me ningependa Mungu awapende zaidi waccmc.tz.Com hata Kama watakuwemo Polisiccmc.kakikaki.tz.tumewachoka.Com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…