Mara nyingi ccm huwa inavurugika na kuonekana hadi nje pale mwenyekiti anapokuwa dhaifu. Hali kama hii ilijitokeza hata kipindi cha JK pale Lowasa alipojiudhuru.
Lakini pia kulikuwa na makundi ya Sita akiwa spika na Mwakyembe, vile vile kulikuwa na makundi ya kina Mark Mwandosya. Ikumbukwe hata CCJ iliundwa na wanaccm tena wakiwa ndani ya CCM na Nape akiwemo.
Kwahiyo hiyo misuguano huwa ipo na wao huwa wanafikia muafaka. Ikumbukwe kwenye suala la kula CCM huwa wanarudi pamoja. CCM ni kubwa ni kutofautiana hakukosekani.
Lakini hata hivyo vyama vidogo mnatofautiana sana. Juzi tuliona kikao cha Mbowe na Lissu wakipatanishwa. Tofauti ya vyama vingine na CCm ni kuwa CCM ndio injini ya nchi, hao wengine hawana madhara yoyote hata wakiuawa au wakiuwana.
Sent from my SM-A225F using
JamiiForums mobile app