Mnataka kumbebesha Hayati Magufuli madhambi yenu?

A

Anakuwaje Mjinga na amekuwa kiongozi Kwenye chama chako?

Na amepewa Nyaraka mbali mbali za wizara na wewe uko hapa unapiga makelele tu?

Mbona hizo nafasi hujapewa wewe?
Ndio maana, tupo nyuma kimaendeleo kwa kuwa wajinga na wapumbavu ndio viongozi. Magenious, hatuongoz tunaandika paper na recommendations zinabaki makabatini. Ila, hakuna kisicho na mwisho.
 
Ndio maana, tupo nyuma kimaendeleo kwa kuwa wajinga na wapumbavu ndio viongozi. Magenious, hatuongoz tunaandika paper na recommendations zinabaki makabatini. Ila, hakuna kisicho na mwisho.
Ccm nyie hamna maajabu yoyote mtafanyia Nchi hii. Endeleeni kula kwa mrija tu.
 
Huyo unayemtetea hasafishiki hata kwa Detol na Dodoki.
Mtapiga kelele kama mbwa koko asiye tumia akili, Magufuli hamko naye Ila mko na hao wezi, wanyan'ganyi, wauaji, wapo hai ambapo mmeshindwa kuwabwekea hao kwa sababu ya ujinga mlio nao na mmekaza kulaumu maiti.

Wabongo mmeshainguzwa katika kitabu cha maajabu ya dunia, mnalaumu maiti 😂😂😂

Hata shetani anawashangaa
 
Naona mnabweka nyinyi kwa nyinyi kama mmeshikana ugoni.

Dhambi ya wizi na kuvuruga uchaguzi inawatafuna
 
Kwa jinsi mambo yalivyokuwa yanaenda 2010 wale wa 2015 ndio hao hao.
Hao si mnao sasa katika serikali, kuna wengine JPM aliwafyekelea mbali Ila alipokufa tu bi Kizimkazi akawarudisha wote na ni hao hao wanaongoza serikali sasa, na ndio hao hao wezi na mafisadi na ndio hao hao wanagawana madaraka hadi na michepuko yao.

Wapo hai, halafu sisi kwa ujinga wetu talaumu mfu.

Kuwa mjinga ili mwerevu akutawale, ndivyo tulivyo wabongo
 
Karma
 
Watu wenye akili ndogo ndiyo mmejazana kwenye siasa kwa asilimia 99%....kwa sababu democracy siyo muhimu kuliko kiongozi bora hapo ndipo magufuli alipo wapiga bao wapumbavu wote wa ccm na chadema na upinzani wote. Ni bora kuwa na kiongozi bora kuliko kuwa na democracy maana ukiwa na democracy kisha mkaitumia kumchagua barnaba na kumsulubisha yesu basi hiyo democracy ina faida gani ....wapumbavu wanadhani democracy ndiyo haki kumbe ni tofauti. Umuhimu wa democracy ni pale tu inapo tumika kutenda haki kwa kuchagua viongozi bora au kutoa maamuzi bora kinyume na hapo democracy inageuka uhuni tu. Watanzania tunataka kiongozi mzalendo mwenye kuleta maendeleo...kwa hiyo fisadi hata kama kapatikana kwa democracy ni upumbavu mtupu.
 
Wizi wa kura na ujambazi wake hakuna kipindi kinachozidi kingine. Tofauti ni JPM hakuwa mnafiki na kona kona. Ukisikia mtu anasema 2020 ilizidi ujue huyo hajawahi kuwa front kwenye uchaguzi na kama alishiriki hakuwa insider alisikia sikia tu vitu.
Kwahiyo hicho kilio cha 2020 ni kwa kuwa wote walikuwa front na insiders?
 
Kama katiba inasema rais hashitakiwi akiwa au ametoka madarakani, huku ana mamlaka makubwa Hadi kuunda vikundi vya kuteka wanaoenda kinyume na utashi wake, mtumishi gani wa umma ataacha kutii maagizo yake hata kama ni batili?
 
Kwa haya maelezo yako ilikuwa sahihi kwa weusi wa africa kusini kufanyiwa unyama na makaburu, kwa sababu hao makaburu walikuwa wanaleta maendeleo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…