Mnataka kunambia serikali haijui kuwa Bakhressa na MO wanawalipa watu Elfu tatu mpaka elfu nne kwa siku?

Knock life

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
2,465
Reaction score
7,764
Huwa na jiuliza. Serikali kuanzia Rais mpaka mawaziri Kazi yao hasa ni nini?

Yaani wao wakipokea kodi wamemaliza Kazi.

Bakressa na Mo hawa wote ukiwafatilia utajiri wao Unatokana na kunyonya watu.

Huwa nacheka Sana ninapoona Eti matajiri wa Tanzania ndio hawa wanalipa watu elfu tatu mpaka nne (Kidding)

We are not serious as a Country.
 
Huwa na jiuliza .Serikali kuanzia Rais mpaka mawaziri Kazi yao hasa ni nini ?.

Yaani wao wakipokea kodi wamemaliza Kazi .
Bakressa na Mo hawa wote ukiwafatilia utajiri wao Unatokana na kunyonya watu.

Huwa nacheka Sana ninapoona Eti matajiri wa Tanzania ndo hawa wanalipa watu elfu tatu mpaka nne (Kidding)

We are not serious as a Country.
Wale sio matajiri halali wanadhurumu sana watu wa chini ili wao waendelee kuwa juu hasa MO ni ovyo kabisa.
 
Huwa na jiuliza .Serikali kuanzia Rais mpaka mawaziri Kazi yao hasa ni nini ?.

Yaani wao wakipokea kodi wamemaliza Kazi .
Bakressa na Mo hawa wote ukiwafatilia utajiri wao Unatokana na kunyonya watu.

Huwa nacheka Sana ninapoona Eti matajiri wa Tanzania ndo hawa wanalipa watu elfu tatu mpaka nne (Kidding)

We are not serious as a Country.
Soma sheria ya ajira. Viwango vya mishahara sekta binafsi, pamoja na vibarua.

Utaona wao hawana shida
 
Huwa na jiuliza .Serikali kuanzia Rais mpaka mawaziri Kazi yao hasa ni nini ?.

Yaani wao wakipokea kodi wamemaliza Kazi .
Bakressa na Mo hawa wote ukiwafatilia utajiri wao Unatokana na kunyonya watu.

Huwa nacheka Sana ninapoona Eti matajiri wa Tanzania ndo hawa wanalipa watu elfu tatu mpaka nne (Kidding)

We are not serious as a Country.
Kama hawaridhiki wakatafute ajira sehemu zingine kunakolipa vizuri
 
Huwa na jiuliza .Serikali kuanzia Rais mpaka mawaziri Kazi yao hasa ni nini ?.

Yaani wao wakipokea kodi wamemaliza Kazi .
Bakressa na Mo hawa wote ukiwafatilia utajiri wao Unatokana na kunyonya watu.

Huwa nacheka Sana ninapoona Eti matajiri wa Tanzania ndo hawa wanalipa watu elfu tatu mpaka nne (Kidding)

We are not serious as a Country.
Serikali ya CCM ni pango la walanguzi!
 
Back
Top Bottom