Mnataka kunambia serikali haijui kuwa Bakhressa na MO wanawalipa watu Elfu tatu mpaka elfu nne kwa siku?

Mnataka kunambia serikali haijui kuwa Bakhressa na MO wanawalipa watu Elfu tatu mpaka elfu nne kwa siku?

Mkuu huoni kama u cheap labour huu umepitiliza kweli buku 3 hujala Wala nauli hujatoa...na akiba unaipatia wapi

Na maendeleo unayapata lini
Ukifanya hiyo kaz uctegemee maendeleo wewe tambua kwamba unatafuta hela ya kula. Habar za nauli achana nazo miguu ni usafiri tosha.
 
Kama wanakubali kuwa misukule kwanini tajir asiwatumie, watu wanaridhika nayo ndo maana ingekuwa watu wanakiburi asingejarib mtu kukubali io pesa, but kadri miaka inavyokwenda automatically gharama za maisha zinaongezeka watu hawatokubali kupelekeshwa tena, io 4k itakuwa kwa masaa kadhaa impase mtu kufanya angalau apate 15k kukidhi mahitaji ya siku na pia viwanda vikiwa vingi ndo itapendeza
Hakika
 
Tatizo kubwa bongo vyama vya wafanyakazi havina maana yoyote
 
Ni uonevu mkubwa,Serikali ianzishe Viwanda kama hivyo vyao Wafanyakazi walipwe vizuri mpaka hao Matajiri wajisikie aibu.
 
Ni huzuni kuteseka kutwa kucha alafu unalipwa afu tatu..

Hakika ni huzuni kubwa ndugu mtoa mada
 
Back
Top Bottom