Mnataka kunambia serikali haijui kuwa Bakhressa na MO wanawalipa watu Elfu tatu mpaka elfu nne kwa siku?

Mnataka kunambia serikali haijui kuwa Bakhressa na MO wanawalipa watu Elfu tatu mpaka elfu nne kwa siku?

Comment ya hovyo. Serikali zote duniani hujibidisha kuhakikisha kuwa watu wao wanapata mshahara unaotosha angalau kutimiza mahitaji ya msingi. Inaitwa minimum wage na kila mwajiri lazima aiheshimu. Na hivi ndivyo unavyojenga jamii yenye ustahimilivu na social cohesion maana mwananchi asiyeweza kujipatia mahitaji yake ya msingi anaweza kuwa hatari sana. Sasa wewe bila uelewa wo wote unajiropokea tu. Poor brain indeed! 🚮
Samahani mkuu..
Nimeelewa sasa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Samahani sana mkuu
 
Comment ya hovyo. Serikali zote duniani hujibidisha kuhakikisha kuwa watu wao wanapata mshahara unaotosha angalau kutimiza mahitaji ya msingi. Inaitwa minimum wage na kila mwajiri lazima aiheshimu. Na hivi ndivyo unavyojenga jamii yenye ustahimilivu na social cohesion maana mwananchi asiyeweza kujipatia mahitaji yake ya msingi anaweza kuwa hatari sana. Sasa wewe bila uelewa wo wote unajiropokea tu. Poor brain indeed! 🚮
Ukiona MTU anajiita jina Fulani ujue lipo kiroho umeona Comment yake na jina lake huyo jamaa?
 
Kisheria Kuna minimum wages mkuu hata Kwa sekta binafsi. Suala la watu kukubali haliondoi unyonyaji.

Japo nachelea kuamini Kuna mtu anafanya kazi Kwa buku tatu siku nzima
Mkuu kuna tofauti kati ya ajira na hizo tender za afu3. Hizo sio ajira
 
Sasa
Huwa na jiuliza .Serikali kuanzia Rais mpaka mawaziri Kazi yao hasa ni nini ?.

Yaani wao wakipokea kodi wamemaliza Kazi .
Bakressa na Mo hawa wote ukiwafatilia utajiri wao Unatokana na kunyonya watu.

Huwa nacheka Sana ninapoona Eti matajiri wa Tanzania ndo hawa wanalipa watu elfu tatu mpaka nne (Kidding)

We are not serious as a Country.
Huyo anaelipwa elfu tatu kalazimishwa unaufaham mshahara wa mama ntilie?
 
Utasilkia haya maneno kutoka kwa waswahili ambao wana mental illness

-Fungua kiwanda Chako
-Haujalazimishwa
-Acha Kazi ikiwa haikulipi.

Wanasahau kuwa Watu wana go through a lot and they have nothing to do wanaamua kuitafuta hiyo 3K-4K

Mediocre society
we unadhan mabosi pia hwana shida? hutaki acha watu wana madeni ya mabilioni
 
Mbona Zanzibar katika kiwanda chake huwa hawalipi elfu nne ?

Na ukiwa Zanzibar hakuna mambo Kama haya why Zanzibar wafanikiwe na Tanzania wafeli .??
Fuatilia yawezekana Zanzibar analipa yeye direct kama kampuni, huku bongo kazi za Unskilled labour ka outsource kwenye kampuni zinazodeal na Hrs kama pale kwa dangote
 
Huwa na jiuliza .Serikali kuanzia Rais mpaka mawaziri Kazi yao hasa ni nini ?.

Yaani wao wakipokea kodi wamemaliza Kazi .
Bakressa na Mo hawa wote ukiwafatilia utajiri wao Unatokana na kunyonya watu.

Huwa nacheka Sana ninapoona Eti matajiri wa Tanzania ndo hawa wanalipa watu elfu tatu mpaka nne (Kidding)

We are not serious as a Count

Kama ni hivyo nitaongea Wana- Lunyasi wenzangu tumlipe Mo 67B ili at least alipe watu vizuri possibly Simba is taking a lot from him hadi anaishiwa PAWA ( joking). But we need to improve Zone marketability & business conduciveness Boss apate nae atoe Kwa wafanyakazi wake.
 
Tatizo liko wapi? Kwenye biashara au kampuni yako unawalipa wafanyakazi kiasi gani?
 
Serikali inawatambua waajiriwa ambao wapo kwenye mfumo.

Waajiriwa ambao wapo kwenye mfumo uliopo chini ya MO wanalipwa maslahi mazuri.

Hao unaosema wanalipwa buku 3 hadi 4 ni vibarua na hawapo chini ya Mo wala Bakhresa.

Hayo malipo ya buku 3 hadi 4 hayalipwi kutoka kwa MO, ni kwamba MO ametoa tenda kwa makampuni mbalimbali yamsaidie uendeshaji wa shughuli zake.

MO ameingia mkataba na hayo makampuni ambao wamekubaliana kuwa watalipwa kiasi fulani kwa ajili ya ku manage shughuli za hapo. Mfano kulikuwa na kampuni linaitwa UPAMI hapo Vingunguti limedumu kwa kipindi kirefu sana na saizi limemaliza mkataba wake.

Kampuni lililokuja kum replace UPAMI naskia limeboresha maslahi kidogo kwa wafanyakazi wake sijui ni kiasi gani ila naambiwa walau saizi ni tofauti na UPAMI.

Sasa hayo makampuni ndio huanza kuwaajiri watu na kuwalipa ujira mdogo.

So sehemu pekee ambayo naweza kuiona guilty ya MO ni kuruhusu hayo makampuni kuwalipa wafanyyakazi ambao wako chini yao pesa ndogo.

Japokuwa kuna taarifa zinadai kuwa sababu ya hata hayo makampuni kulipa ujira mdogo imetokana na uaminifu mdogo wa hao wafanyakazi.

Wafanyakazi wengi wamekuwa wakiiba mali za viwandani na kujinufaisha nje, kwa hiyo unakuta mtu analipwa 4,000 lakini kuna sehemu upo mchongo wa kulipwa 10,000 hadi 15,000 ila hataki kutoka kwasababu anajuua huku kuna upigaji wenye maslahi makubwa zaidi.
 
Kama ni hivyo nitaongea Wana- Lunyasi wenzangu tumlipe Mo 67B ili at least alipe watu vizuri possibly Simba is taking a lot from him hadi anaishiwa PAWA ( joking). But we need to improve Zone marketability & business conduciveness Boss apate nae atoe Kwa wafanyakazi wake.
Sio kwelii
 
Fuatilia yawezekana Zanzibar analipa yeye direct kama kampuni, huku bongo kazi za Unskilled labour ka outsource kwenye kampuni zinazodeal na Hrs kama pale kwa dangote
Huu ujinga hautawaishia wabongo

Zanzibar sio hizo Kazi kule hata kibarua saidia fundi Kama hauna 20K haumpati .

Ile jamii IPO enlighten Sana hawapendi unyonyaji iwe kibarua au officially
 
Huwa na jiuliza .Serikali kuanzia Rais mpaka mawaziri Kazi yao hasa ni nini ?.

Yaani wao wakipokea kodi wamemaliza Kazi .
Bakressa na Mo hawa wote ukiwafatilia utajiri wao Unatokana na kunyonya watu.

Huwa nacheka Sana ninapoona Eti matajiri wa Tanzania ndo hawa wanalipa watu elfu tatu mpaka nne (Kidding)

We are not serious as a Country.
Suala la mishahara bado ni kizungumkuti sekta binafsi, uhalisia wa mishahara inabidi iendane na hali halisi ya maisha ya watu.

N.B. Mwananchi anayetumia chini ya Tsh. 7,834/- kwa siku ni kundi la masikini kupindukia, hiyo ni kwa mujibu wa Benki ya dunia. Sasa hapo utajua ni kwa kiwango gani watanzania wengi wanaishi maisha ya kimasikini, hususani wale walioajiriwa sekta binafsi.

Back
Top Bottom