Mnataka kunambia serikali haijui kuwa Bakhressa na MO wanawalipa watu Elfu tatu mpaka elfu nne kwa siku?

Serikali inawatambua waajiriwa ambao wapo kwenye mfumo.

Waajiriwa ambao wapo kwenye mfumo uliopo chini ya MO wanalipwa maslahi mazuri.

Hao unaosema wanalipwa buku 3 hadi 4 ni vibarua na hawapo chini ya Mo wala Bakhresa.

Hayo malipo ya buku 3 hadi 4 hayalipwi kutoka kwa MO, ni kwamba MO ametoa tenda kwa makampuni mbalimbali yamsaidie uendeshaji wa shughuli zake.

MO ameingia mkataba na hayo makampuni ambao wamekubaliana kuwa watalipwa kiasi fulani kwa ajili ya ku manage shughuli za hapo. Mfano kulikuwa na kampuni linaitwa UPAMI hapo Vingunguti limedumu kwa kipindi kirefu sana na saizi limemaliza mkataba wake.

Kampuni lililokuja kum replace UPAMI naskia limeboresha maslahi kidogo kwa wafanyakazi wake sijui ni kiasi gani ila naambiwa walau saizi ni tofauti na UPAMI.

Sasa hayo makampuni ndio huanza kuwaajiri watu na kuwalipa ujira mdogo.

So sehemu pekee ambayo naweza kuiona guilty ya MO ni kuruhusu hayo makampuni kuwalipa wafanyyakazi ambao wako chini yao pesa ndogo.

Japokuwa kuna taarifa zinadai kuwa sababu ya hata hayo makampuni kulipa ujira mdogo imetokana na uaminifu mdogo wa hao wafanyakazi.

Wafanyakazi wengi wamekuwa wakiiba mali za viwandani na kujinufaisha nje, kwa hiyo unakuta mtu analipwa 4,000 lakini kuna sehemu upo mchongo wa kulipwa 10,000 hadi 15,000 ila hataki kutoka kwasababu anajuua huku kuna upigaji wenye maslahi makubwa zaidi.
Ila ukitaka kujua huu ni upumbavu na waoufanya ni hao hao akina MO tazama viwanda vyao Vya Zanzibar hauwezi kuona huo ujinga
 
Na hii inatumiwa na wameliki ili kuondoa other operational costs/charges kama kuwalipia nssf,paye, wcf etc pia usumbufu wa mashauri ya watumishi. Hivyo yeye anadeal na independent contractor tu
 
Huwa na jiuliza .Serikali kuanzia Rais mpaka mawaziri Kazi yao hasa ni nini ?.

Yaani wao wakipokea kodi wamemaliza Kazi .
Bakressa na Mo hawa wote ukiwafatilia utajiri wao Unatokana na kunyonya watu.

Huwa nacheka Sana ninapoona Eti matajiri wa Tanzania ndo hawa wanalipa watu elfu tatu mpaka nne (Kidding)

We are not serious as a Country.
Wengi wa watanzania ni mazezeta!
 
Kisheria Kuna minimum wages mkuu hata Kwa sekta binafsi. Suala la watu kukubali haliondoi unyonyaji.

Japo nachelea kuamini Kuna mtu anafanya kazi Kwa buku tatu siku nzima
Mkiona mnanyonywa mnaazisha conflict of interest, itakayopelekea kuzaa Mkataba wa hali bora/CBA. Maeneo kama haya ndipo vyama vya wafanyakazi inabidi wapige kazi sana
 
Serikali inawatambua waajiriwa ambao wapo kwenye mfumo.

Waajiriwa ambao wapo kwenye mfumo uliopo chini ya MO wanalipwa maslahi mazuri.

Hao unaosema wanalipwa buku 3 hadi 4 ni vibarua na hawapo chini ya Mo wala Bakhresa.

Hayo malipo ya buku 3 hadi 4 hayalipwi kutoka kwa MO, ni kwamba MO ametoa tenda kwa makampuni mbalimbali yamsaidie uendeshaji wa shughuli zake.

MO ameingia mkataba na hayo makampuni ambao wamekubaliana kuwa watalipwa kiasi fulani kwa ajili ya ku manage shughuli za hapo. Mfano kulikuwa na kampuni linaitwa UPAMI hapo Vingunguti limedumu kwa kipindi kirefu sana na saizi limemaliza mkataba wake.

Kampuni lililokuja kum replace UPAMI naskia limeboresha maslahi kidogo kwa wafanyakazi wake sijui ni kiasi gani ila naambiwa walau saizi ni tofauti na UPAMI.

Sasa hayo makampuni ndio huanza kuwaajiri watu na kuwalipa ujira mdogo.

So sehemu pekee ambayo naweza kuiona guilty ya MO ni kuruhusu hayo makampuni kuwalipa wafanyyakazi ambao wako chini yao pesa ndogo.

Japokuwa kuna taarifa zinadai kuwa sababu ya hata hayo makampuni kulipa ujira mdogo imetokana na uaminifu mdogo wa hao wafanyakazi.

Wafanyakazi wengi wamekuwa wakiiba mali za viwandani na kujinufaisha nje, kwa hiyo unakuta mtu analipwa 4,000 lakini kuna sehemu upo mchongo wa kulipwa 10,000 hadi 15,000 ila hataki kutoka kwasababu anajuua huku kuna upigaji wenye maslahi makubwa zaidi.
Mkuu umeleza vizur kuwa wale sio wajiriwa ni vibarua.
ila sasa MO hawez ingilia makubaliano ya watu wengine bado yy hawezi ingia kweny lawama ni nonsense.
Bado itabaki kuwa mtu atalipwa kilingana thaman yako sokoni na kazin na sio kwa nguvu zake kazin kama zamani.
 
Huwa na jiuliza .Serikali kuanzia Rais mpaka mawaziri Kazi yao hasa ni nini ?.

Yaani wao wakipokea kodi wamemaliza Kazi .
Bakressa na Mo hawa wote ukiwafatilia utajiri wao Unatokana na kunyonya watu.

Huwa nacheka Sana ninapoona Eti matajiri wa Tanzania ndo hawa wanalipa watu elfu tatu mpaka nne (Kidding)

We are not serious as a Country.
serikali inatakiwa iwe na miongozo ya salary scales za private companies na iyo miongozo inatakiwa ifuatwe,shida ya tz icho kitu hakipo na kama kipo ufuatiliaji ni zero, kwa nchi zilizoendelea ni ngumu kuzulumu wafanyakazi na ndio maana matajiri wa mbele kama US uwa wanakimbilia kufungua viwanda shit holes countries kwa sababu kuna sheria mbovu za kunyonya wafanyakazi
 
Back
Top Bottom