Mnataka kunambia serikali haijui kuwa Bakhressa na MO wanawalipa watu Elfu tatu mpaka elfu nne kwa siku?

Mnataka kunambia serikali haijui kuwa Bakhressa na MO wanawalipa watu Elfu tatu mpaka elfu nne kwa siku?

Hujalazimishwa kwenda, unaenda kwa Uamuzi wako na tena unagombania nafasi, iweje upate nafasi uanze lalamika tena?

Wanasema heri kumfadhili MBUZI utamla nyama, sio Binadamu mtanzania.

Unaweza ukamkatia mkono wako ili umuokoe na njaa lakini atalalamika akwambie Chumvi hujamwekea ya kutosha,mbona hujampa na kachumbari,nk

Mtu umekuja kiwandani huna A wala B unapewa kazi halafu unaanza lalamika mshahara, kwan huo mshahara ulikua huujui?

Tanzania ni Nchi Huru, msiwaongelee hao matajiri tu waongeleeni na hao wafanyakazi Wametumia Uhuru Wao kufanya watakacho.
Kisheria Kuna minimum wages mkuu hata Kwa sekta binafsi. Suala la watu kukubali haliondoi unyonyaji.

Japo nachelea kuamini Kuna mtu anafanya kazi Kwa buku tatu siku nzima
 
Watu wanatgemeana Mkuu

Na mambo Kama haya ndo serikali na hao owners wa viwanda wanapenda kusikia.

Hauwezi ukatenganisha Nguvu na akili.

Means usitumie shida za watu for ur own benefits.

Kwakuwa IPO siku hawa jamaa atakuja Rais serious atawafungia business zao .

Life is short trip so why uwe mjanjana
Mkuu fikilia 3000×4000 per day
12,000,000 hiyo kwa siku angalia kwa mwezi jamaa anatoa ngap kwa viwanda vyake..

Mi naona kawasaidia tuu na ndo mana kupata connection sehemu hizo hizo watu kufanya kazi ni ngumu
 
Ukizaliwa Africa ujue Kama ni match ushafungwa 5-0 kwakuwa mambo Kama haya utayakuta katika nchi za watu weusi .


Ukienda Zanzibar Vibarua wa vuwandani hauwezi ukamlipa buku tatu mpaka buku nne.
 
Watu wanatgemeana Mkuu

Na mambo Kama haya ndo serikali na hao owners wa viwanda wanapenda kusikia.

Hauwezi ukatenganisha Nguvu na akili.

Means usitumie shida za watu for ur own benefits.

Kwakuwa IPO siku hawa jamaa atakuja Rais serious atawafungia business zao .

Life is short trip so why uwe mjanjana
Wasaidie kuanzisha kampuni au biashara yako na uwalipe vile unaona ni halali. Tunapaswa kuwashukuru kwa kufikiria kuanzisha hizo biashara/kampuni na watu wanalipwa hizo afu tatu au nne. Inawezekana wewe thamani yako ni ya juu ila wapo wa afu tatu pia. Dunia ina usawa kinadharia ila kiuhalisia hakuna usawa.
 
Kuna watu wanalipwa pesa nyingi zaidi ya hizo kwa siku moja, inategemea umesomea kitu gani huko vyuoni.

Huu ni mgawanyo wa malipa wa dunia nzima, mchango wako wa kiakili siku zote una thamani kuliko ule wa nguvu za mwili wako.

Wazazi utotoni walitusisitizia tusome tuache kuchezacheza walimaanisha zile faida za vyeti vya halali azipatazo mtoto wao miaka ya baadae.
 
Huwa na jiuliza .Serikali kuanzia Rais mpaka mawaziri Kazi yao hasa ni nini ?.

Yaani wao wakipokea kodi wamemaliza Kazi .
Bakressa na Mo hawa wote ukiwafatilia utajiri wao Unatokana na kunyonya watu.

Huwa nacheka Sana ninapoona Eti matajiri wa Tanzania ndo hawa wanalipa watu elfu tatu mpaka nne (Kidding)

We are not serious as a Country.
sirikari
 
Kisheria Kuna minimum wages mkuu hata Kwa sekta binafsi. Suala la watu kukubali haliondoi unyonyaji.

Japo nachelea kuamini Kuna mtu anafanya kazi Kwa buku tatu siku nzima
Masaa 8 tu ndio shift ya mtu..

Uki double shift hela inaongezeka
 
Mkuu fikilia 3000×4000 per day
12,000,000 hiyo kwa siku angalia kwa mwezi jamaa anatoa ngap kwa viwanda vyake..

Mi naona kawasaidia tuu na ndo mana kupata connection sehemu hizo hizo watu kufanya kazi ni ngumu
Ur still young to understand this shit .

Pale kwa MO na Bakhressa Ukisikia MTU analipwa elfu nne , basi hiyo Kazi yake sio ya kitoto .

Pale kiwandani wanakuwa wanabeba viloba Vya unga wa ngano , Pumba n.k

So ni ngumu MTU kuifanya Kazi Kama hiyo 30 days per month .

Jambo la pili huyo huyo Bakhressa ana Viwanda Zanzibar nenda ufatilie uone kama anawalipa Vibarua elfu nne.

Means serikali ya Tanzania haipo serious na wananchi wake.


We unaongea kwakuwa unajua hilo jambo halikuhusu wala kukuathiri .
 
Hujalazimishwa kwenda, unaenda kwa Uamuzi wako na tena unagombania nafasi, iweje upate nafasi uanze lalamika tena?

Wanasema heri kumfadhili MBUZI utamla nyama, sio Binadamu mtanzania.

Unaweza ukamkatia mkono wako ili umuokoe na njaa lakini atalalamika akwambie Chumvi hujamwekea ya kutosha,mbona hujampa na kachumbari,nk

Mtu umekuja kiwandani huna A wala B unapewa kazi halafu unaanza lalamika mshahara, kwan huo mshahara ulikua huujui?

Tanzania ni Nchi Huru, msiwaongelee hao matajiri tu waongeleeni na hao wafanyakazi Wametumia Uhuru Wao kufanya watakacho.
Pia huwezi jua serikali imewarundikia kodi na tozo kwa kiwango gani, zipo factors nyingi hapo zinazopelekea hayo pengine hata owner wanaona wakiongeza kiwango nje cha msahahara ya kima cha chini hakuna watakachopata cha faida, faida ambaoyo pia itazalisha vitu vingine kutimiza malengo. By the way bakuna mfanyabiashara asiyetaka faida,pia hakuna mafanyakazi asiyetaka mshahara mkubwa. (Interst ya mwajiri ni kupata faida,mafanayakazi ni kupata maslahi bora, na haitakaa ibadilike katika ulimwengu wa uchumi)
 
Ur still young to understand this shit .

Pale kwa MO na Bakhressa Ukisikia MTU analipwa elfu nne , basi hiyo Kazi yake sio ya kitoto .

Pale kiwandani wanakuwa wanabeba viloba Vya unga wa ngano , Pumba n.k

So ni ngumu MTU kuifanya Kazi Kama hiyo 30 days per month .

Jambo la pili huyo huyo Bakhressa ana Viwanda Zanzibar nenda ufatilie uone kama anawalipa Vibarua elfu nne.

Means serikali ya Tanzania haipo serious na wananchi wake.


We unaongea kwakuwa unajua hilo jambo halikuhusu wala kukuathiri .
Duuh kumbe kazi yenyewe ni kubeba viroba..
Samahani mkuu sikujua hili.
Nikajua kazi zetu hizi za kuto kuvuja jasho et
 
Kama unaona unadhulumiwa acha kufanya kazi
Comment ya hovyo. Serikali zote duniani hujibidisha kuhakikisha kuwa watu wao wanapata mshahara unaotosha angalau kutimiza mahitaji ya msingi. Inaitwa minimum wage na kila mwajiri lazima aiheshimu. Na hivi ndivyo unavyojenga jamii yenye ustahimilivu na social cohesion maana mwananchi asiyeweza kujipatia mahitaji yake ya msingi anaweza kuwa hatari sana. Sasa wewe bila uelewa wo wote unajiropokea tu. Poor brain indeed! 🚮
 
Pia huwezi jua serikali imewarundikia kodi na tozo kwa kiwango gani, zipo factors nyingi hapo zinazopelekea hayo pengine hata owner wanaona wakiongeza kiwango nje ya kima cha chini hakuna watakachopata cha faida, faida amanayo pia itazalisha vitu vingine kutimiza malengo. By the way bakuna mfanyabiashara asiyetaka faida,pia hakuna mafanyakazi asiyetaka mshahara mkubwa. (Interst ya mwajiri ni kupata faida,mafanayakazi ni kupata maslahi bora, na haitakaa ibadilike katika ulimwengu wa uchumi)
Mbona Zanzibar katika kiwanda chake huwa hawalipi elfu nne ?


Na ukiwa Zanzibar hakuna mambo Kama haya why Zanzibar wafanikiwe na Tanzania wafeli .??
 
Back
Top Bottom