Mnataka kunambia serikali haijui kuwa Bakhressa na MO wanawalipa watu Elfu tatu mpaka elfu nne kwa siku?

Mnataka kunambia serikali haijui kuwa Bakhressa na MO wanawalipa watu Elfu tatu mpaka elfu nne kwa siku?

Huwa na jiuliza .Serikali kuanzia Rais mpaka mawaziri Kazi yao hasa ni nini ?.

Yaani wao wakipokea kodi wamemaliza Kazi .
Bakressa na Mo hawa wote ukiwafatilia utajiri wao Unatokana na kunyonya watu.

Huwa nacheka Sana ninapoona Eti matajiri wa Tanzania ndo hawa wanalipa watu elfu tatu mpaka nne (Kidding)

We are not serious as a Country.

pia hapo hapo kwa Mo na Bakhresa kuna watu wanalipwa milioni 10 na wamepangiwa appartment na ofisi.

hiyo maana yake unalipwa kutokana na skills zako zilivyo valuable
 
Watu wengi wenye ukwasi wa juu wana roho mbaya sana.

Ili ufike hapo inatakiwa roho mbaya sana.

Bt mwisho wa siku na sera pia za nchi yenu.

Unajua kima cha chini cha mshahara ni kiasi gani?

Ilikuwa 120k kwa mwezi kama sikosei kwa kibarua. Sasa gawanya hiyo hela kwa siku 30 utapata jibu.
 
Hujalazimishwa kwenda, unaenda kwa Uamuzi wako na tena unagombania nafasi, iweje upate nafasi uanze lalamika tena?

Wanasema heri kumfadhili MBUZI utamla nyama, sio Binadamu mtanzania.

Unaweza ukamkatia mkono wako ili umuokoe na njaa lakini atalalamika akwambie Chumvi hujamwekea ya kutosha,mbona hujampa na kachumbari,nk

Mtu umekuja kiwandani huna A wala B unapewa kazi halafu unaanza lalamika mshahara, kwan huo mshahara ulikua huujui?

Tanzania ni Nchi Huru, msiwaongelee hao matajiri tu waongeleeni na hao wafanyakazi Wametumia Uhuru Wao kufanya watakacho.
 
Wanatumia theary ya demand and supply, pia kama hawalipi chini ya kima cha chini cha mshahara sekta binafsi katika sekta husika (viwanda na biashara) wako sawa unless kama wanalipa vinginevyo au nje ya makubaliano maalumu/collective bargainning agreement.
 
Back
Top Bottom