Mnatuambia tusioe wakati nyie mmo kwenye ndoa, mnamaanisha nini?

Kuvunja ndoa ni jambo zito sana, hata wanaoachana baada ya miaka kadhaaa ikipita wanapasha viporo, ndoa sio jambo jepesi kuvunjika ni mihemko tu na changamoto za maisha
Wanandoa hawaachanagi wanapumzishana tu!!
Tena kama wale wenye watoto sio wa kuwaamini kabisaa..!!

Kifo ndo kinawatenganisha..
 
Kuvunja ndoa ni jambo zito sana, hata wanaoachana baada ya miaka kadhaaa ikipita wanapasha viporo, ndoa sio jambo jepesi kuvunjika ni mihemko tu na changamoto za maisha
Siku hizi nimeona kuna namna mpya ya kuachana. Mwanaume anahama mkoa au wilaya kikazi. Watoto mnakua mnajua baba anafanya kazi mbali, kumbe kaona dem wake(mama enu) anamkata stimu. Anakua anakuja kuwaona mara moja kwa mwezi, hapo kila mmoja anasubiri tu mwenzake afe maisha yaendelee.. Taraka sizioni siku hizi
 
Wanajaribu kuficha ili kuepuka kuwaumiza watoto kihisia, kuachana kunaumiza sana watoto, bora tu wajue umesafiri kutafuta kazi
 
KAMA NI TATIZO KWANINI WASIVUNJE NDOA? KUNA MTU ANAPENDA MATATIZO?
Tupo ulimwengu wa digital,teknolojia pia ina wagonjwa wake hao unaowaona wanashauri sana oa au usioe ndiyo wagonjwa wenyewe.

Hao ni attention seeker wakikuona umesapot alichoandika nafsi yake inatulia japokuwa anajua siyo njia sahihi kwako kuifata but kule kumpa like na kukoment kama umemuelewa ndiyo anachokitaka yeye so usidhani mimi kusema ndoa ni mbaya huku nimeoa nakuwa namaanisha nilichosema.
 
Wanajaribu kuficha ili kuepuka kuwaumiza watoto kihisia, kuachana kunaumiza sana watoto, bora tu wajue umesafiri kutafuta kazi
Hiyo ni sababu ndogo sana, me nadhani sababu ya kwanza ni hizo mali, sababu ya pili ni wanogopa aibu watakayo ipata kwa ndugu jamaa na marafiki.. Watoto siku hizi sio tatizo kubwa kwenye vichwa vya waza hasa kuhusu jambo la mahusiano. Maana wanakikauli flani hivi "watoto wa siku hizi akili zinakua mapema, wanajua kila kitu kuhusu mahusiano". inafika hatua mzazi anaona sawa mwanae wa miaka 14 kua na mpenzi. Taraka zinakimbiwa sababu wanawake wana mashirika ya kuwatetea, mwanaume anaona bora akaanzishe mji mwingine kuliko kuukatasha huu uliopo.
 
Umeeleza vyema
 
Hakuna kitu sipendi kama kesi aisee๐Ÿ˜
Mnajikuta mnasolve kesi mpaka mkiwa ndani ya swimming๐Ÿ˜ณ
IDD ya mwaka Jana nilikua unguja pale stendi ya saateni KARIBU na hospitali ya Lumumba yanapo paki magari ya kwenda nungwi, mara nikamuona MKE na mume wanatukanana barabarani mchana mume anaongea huku anawashirikisha watu eti muoneni HUYU watu nao KIMYA hawaingilii mambo ya NDOA za watu ilinisikitisha sana DEMU anamwambia mumewe nipige nipige kabeba mtoto mgongoni daah
 
Wanandoa hawaachanagi wanapumzishana tu!!
Tena kama wale wenye watoto sio wa kuwaamini kabisaa..!!

Kifo ndo kinawatenganisha..
NILIPO KUA ARUSHA NILITONGOZA DEMU MTANGA, NIKAPANGA KUMUOA, AWE MKE WANGU YULE DEMU ALIKUA KAZALISHWA WATOTO WAWILI NA JAMAA MMOJA HIVI NA WASHA ACHANA, BADAE NIKAGINDIA WANAMAWASILIANO KILICHO KUJA KINKERA NI KUKUTANA KWA SIRI NIKA PIGA CHINI, DEMU ALINIBEMBELEZA KINOMA ILA NIKAUMA.
 
Nipoona Tanga nikajua huko chini lazima kuna kilio ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Huwa wanaachana kwa mihemko tu, imagine wanaachana lakini bado wanawasiliana kwa siri? Wamesababisha hasara kubwa kwa watoto, hizi nyege hizi ni hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ