Mnatuambia tusioe wakati nyie mmo kwenye ndoa, mnamaanisha nini?

Duhh ndoa sio jambo jepesi hata kidogo! Sio kitu cha kukimbilia kabisa!! Kama hakuna heshima haifai hata kuwepo!
LAKINI KWA SISI WAISLAMU, TUNAHOFU MANA KUOA NI LAZIMA KWA KIJANA AU MWANAUME LABDA TU USIWE NA UWEZO KWA WAKATI HIO HIVO TUMEBANWA KISIMANI ZAIDI NA FAMILIA ZETU
 
Wote wana wazazi haijalishi alizaa vipi?
Mbona nyie wanaume mnazaa watoto na wanawake wa kutosha maeneo mabalimbali??

Maadili yanaanzishwa na wazazi wote haijalishi nani kazaa na nani?
Mimi sina mtoto lakini nina watoto ambao wa ndugu zangu naishi nao na nawafundisha maadili. Je, na mimi sistahili sababu sina ndoa au mume wa kuishi naye?
 
poa mkuu, sema itabidi ufatilie mahari ni nini
Mahari ni hati miliki ya bidhaa unayomiliki.
Utaishi vipi na mtoto wa mtu bila ridhaa ya wazazi wake?

Wewe unaweza kuruhusu bintiyo awekwe kimada na mwanaume sababu wamekubaliana wao?
 
Duhh ndoa sio jambo jepesi hata kidogo! Sio kitu cha kukimbilia kabisa!! Kama hakuna heshima haifai hata kuwepo!
LAKINI KWA SISI WAISLAMU, TUNAHOFU MANA KUOA NI LAZIMA KWA KIJANA AU MWANAUME LABDA TU USIWE NA UWEZO KWA WAKATI HIO HIVO TUMEBANWA KIIMANI ZAIDI NA FAMILIA NA FAMILIA ZETU
 
Watoto wanatakiwa kulelewa na wazazi wote wawili, unless kuwe na sababu ya msimgi sana. Malezi ya shangazi/mamdogo au mjomba/bamdogo ambaye yupo single na busy na maisha yake wote tunayajua.

Tusitetee ujinga Lamomy, malezi ya watoto ni magumu kuliko hata kuwatafuta hao watoto, watoto hawalelewi kwa remote, uwepo wa kila siku unatakiwa tena sio wa mzazi mmoja maana balance inatakiwa.

Ila kwa vile kizazi cha nyoka kinataka "easy-go" lazima msimame hapo, mnataka kuzaa na kila mwanaume so lazima muone ndoa sio kitu cha msingi.
 
Mtu mwenye akili akikuambia jambo la kipumbavu na wewe ukamsikiliza basi ana kudharau
 
Key objective ya social media ni views.

Mifano mi3:
1. Mtu ana upload video inasema Ist ni gari ya masikini akijua kabisa Ist ina watu wengi meaning video itavamiwa na comments mwishowe views zitakuwa nyingi.

2. Unajisikiaje ukioa mwanamke ana mtoto, ukamnunulia daftari za shule, akawa anajaza majina ukiwa nae hapo? Kuna idadi kubwa mno ya single mothers, hapa lazima views zipo za kutosha.

3. Mwanaume ukimfumania mkeo dili nae sio uhangaike na mwanaume mwenzio aliyeomba akapewa, imeandikwa ombeni nanyi mtapewa hivyo msilete mihasira yenu tukiwaomba wake zenu. Hapa wake za watu, waume za watu, walio wahi kufumaniwa, waliofumania woote wataleta views.

Ukishaelewa objective za videos clips na maushauri ya social media hutapata tabu maana za kuambiwa utachanganya na zako.
 
Mtu mwenye akili akikuambia jambo la kipumbavu na wewe ukamsikiliza basi ana kudharau
KWA HIYO HUYO MWANAUME MWENYE AKILI AKINAMBIA ANA MEGWA NA WAHUNI, NISIMSIKILIZE KISA ATANIONA MPUMBAVU, KATI YANGU NA YEYE NANI MPUMBAVU HUJAOMBWA USHAURI UMETOA ALAFU NIKIKUSIKILIZA NIWE MPUMBAVU MIMI AU WEWE NDO MPUMBAVU?
 
KWA HIYO HUYO MWANAUME MWENYE AKILI AKINAMBIA ANA MEGWA NA WAHUNI, NISIMSIKILIZE KISA ATANIONA MPUMBAVU, KATI YANGU NA YEYE NANI MPUMBAVU HUJAOMBWA USHAURI UMETOA ALAFU NIKIKUSIKILIZA NIWE MPUMBAVU MIMI AU WEWE NDO MPUMBAVU?
Ukiona umeambiwa maneno /jambo au kupewa ushauri alafu ukakuuma au kupata mfadhaiko wa uchungu moyoni mwako basi ni ukweli mtupu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…