Viongozi wa serikali Kila gharama serikali inayoingia kuhudumia jamii mnalalamika wakati Kodi mnazichukua kwetu. Kwani mnataka pesa ya serikali mfanyie nini? Mbona kama V8 zenu, maposho na mishahara mikubwa mnayolipana hatulalamiki?
Juzi Waziri Afya eti NHIF inapata hasara Hadi kutamani mpunguze siku za kwenda hospitali au idadi ya wanufaika kwa kila familia. Mara Waziri February aje na lalamiko kuingia umeme ni laki 8 huku tukilipa laki 3 tu.
Kama mnaona mnapata hasara si mlipishe tu pesa mnazotaka au mtuue kama mnaweza Ili msiingie gharama kutuhudumia.