Mnatufungia mtandao Facebook unahusika nini na siasa zenu?

Humphrey Polepole ana hoja nzuri sana, asikilizwe. Wahuni wamefanya zao kuanqzia kifo cha JPM mpaka uteuzi wa mgombea wa CCM nafasi ya Urais

Ametoa namba ya WhatsApp ya kuoigiwa simu +13057764396 kuuliza maswali
 
Wew unatumia Facebook ipi...ni watanzania wangapi wanajua haya ma vpn..watu tunajua biashara tu na siku zote tunatumia free bila shida ..kwanini siasa ndio zizime hii mitandao
situmii vpn, ipo live mbona au?
 
Huu ni ulimbukeni na ushamba kufunga mitandao kwa mambo ya kisiasa. Makampuni ya mitandao yawe yanadai fidia kwa mitandao yao kufungwa
Lazima watu tuungane kukemea huu ukumanina ...watu tuko bize kufanya biashara zetu tunafungiwa mitandao ?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…