Mnatufungia mtandao Facebook unahusika nini na siasa zenu?

Halafu watu wakisema uchaguzi uahirishwe kuweka mambo sawa..wengine wanashindwa kuelewa..
Nchi iko na viongozi wanawaza mazuio km haya..una uhakika gani uko salama kuongozwa na watu wa aina hii..?
 
Acha wazime boss labda wananchi wanaweza kuwaonyesha wahusika kwamba kuna watu sio wanasiasa na wakapaza sauti kwa umoja
 
Kishindo cha polepole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…