Mnatufungia mtandao Facebook unahusika nini na siasa zenu?

@mods nini hiki? mmelala?๐Ÿ˜ณ
 
Humphrey Polepole ana hoja nzuri sana, asikilizwe. Wahuni wamefanya zao kuanqzia kifo cha JPM mpaka uteuzi wa mgombea wa CCM nafasi ya Urais

Ametoa namba ya WhatsApp ya kuoigiwa simu +13057764396 kuuliza maswali
Huyu jamaa yupo wapi?
 
Nimeshindwa kuingia kwenye link ya mkutano
 
Warudi wakoloni watawale tu,wametupa uhuru tumeutumia vibaya.
 
mda wote mpo mitandaoni kazo mnafanyo saa ngapo? au majobolesi kama mie???
 
Chini ya utawala dhalimu wa CCM mambo haya hayatakwisha, No Reforms No Election.
 
******* sana hawamajizi
 
CCM kumne ni waoga hivi, yaani press ya Ndugu Polepole kwa kuiogopa mnafungia mitandao yote - aaahh jamani tumefikia huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ