Mnatufungia mtandao Facebook unahusika nini na siasa zenu?

WAFUNGE HADI YOUTUBE ILI VYUMA VIUMANE HADI KWA MACHAWA WAO,NINA MIEZI SIJATUMIA TWITTER KISA USENGE USENGE WA SIASA NA SIPIGI KURA
 
Mods wako busy na press ya polepole hawajaifuta matusi hii mpaka sasa
Wewe unaona matusi ndio ya muhim kuliko haya yanayoendelea...unawafungia.watanznaia mitandao kisa nini? Ndio Yale Yale ya kufungia kanisa na si ku deal na mtu binafsi. .usenge tu ...
 
Wewe unaona matusi ndio ya muhim kuliko haya yanayoendelea...unawafungia.watanznaia mitandao kisa nini? Ndio Yale Yale ya kufungia kanisa na si ku deal na mtu binafsi. .usenge tu ...
Kweli wamezingua
 
Namna hii lazima tuamini kuwa wao ndio wanahusika na utekaji wa wakosoaji wa serikali.... Maana wanatumia nguvu kubwa sana kumzuia mtu asiongee na wananchi bila ya kujua anataka kuongea nin!!

Inamaana wana mabaya wanaogopa yasijulikane?
 
Wewe unaona matusi ndio ya muhim kuliko haya yanayoendelea...unawafungia.watanznaia mitandao kisa nini? Ndio Yale Yale ya kufungia kanisa na si ku deal na mtu binafsi. .usenge tu ...
umesema hutaki siasa na haujui siasa ni maisha halafu unakaa kulalamika siasa ndio zinafanya hao wapate nguvu ya kufungia unasema hutaki siasa Halafu unabwekabweka
 
Yaani ni ujinga ujinga mwingi sana wanafanya ,wamefunga hadi youtube ambapo watu wamejiajiri ,watu wanapata elimu/kujifunza kupitia youtube ,wanaweka restriction kisa tu pole pole asiwaambie ukweli ,Ujingha mtupu.

Ebu fungueni Youtube na Facebook bwana ,acheni Upumbavu wenu wa KINGESELEMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ