[emoji3][emoji3]Hicho kimoja ni cha kujilipua au utelezi wa ukweli?napanda 'street fighter' Civilian moja iko njema sana, hairembi, uyoo mpaka Tabata, nagonga sana Makange na smoothies za kutosha
narudi mpaka Gomes, nasubiria 'Konde Boy' TATA, uyoo mpaka home, napiga kimoja nalala
Sitaki Gono mimi, mwendo wa utelezi atifishokujilipua
Relax tu, as long as umepambana na matokeo hamna basi tujipange kivingine mwaka huu unaokuja..We are same moment tunapitia yaani ata sijui mwaka unaishaje, sioni cha maana katika mwaka huu,
Thanks broo ingawa nahisi kuloose control but nitajitahidi kusawazisha vinavyonifelisha na kuninyima amaniRelax tu.as long as umepambana na matokeo hamna basi tujipange kivingine mwaka huu unaokuja..
uwe na depression upate ngvu ya kupiga papuchi mmhMimi hutoa stress zangu kwenye papuchi nikimaliza nakwenda kulala, nikiamka nimechoka narudi kulala tena[emoji1787]
Pole moja ya vitu hatari sana ni msongo wa mawazo nakushauri usitumie kilevi chochote, bange au madawa ya kulevya.Siku ya jana,leo na sijui hiyo kesho itakwendaje napitia msongo mkubwa sana wa mawazo najaribu kujiliwaza na kujifariji pamoja na kujichanganya na watu ila nikikaa kidogo na kufikiri najikuta na rudi katika huzuni na mfadhaiko wa nafsi sio siri nakosa raha na hamu ya vitu vingi naomba mbinu ya kujikwamua
Kama kuna mtu alishapitia hali hii naomben msaada. Pia mimi sio mlevi wala situmii kileo chochote.
Fanya maisha yako rahisi na ondoa kutaka visivyotakikana wala kufikiri visivyofikirika. Stresses nyingi zinaletwa na usasa utokanao na ubepari na kutamani usichoweza au kuataka kupata kingi au kujipa haki hata usipostahiki.Siku ya jana,leo na sijui hiyo kesho itakwendaje napitia msongo mkubwa sana wa mawazo najaribu kujiliwaza na kujifariji pamoja na kujichanganya na watu ila nikikaa kidogo na kufikiri najikuta na rudi katika huzuni na mfadhaiko wa nafsi sio siri nakosa raha na hamu ya vitu vingi naomba mbinu ya kujikwamua
Kama kuna mtu alishapitia hali hii naomben msaada. Pia mimi sio mlevi wala situmii kileo chochote.