Mnavyofanyia watu matukio muwe mnafikiria kidogo

Kuna jamaa alitorokea kusikojulikana akatelekeza familia baada ya kumfumania mke wake live, baadaye mke naye aliwehuka

Kabla ya tukio jamaa alionekana kama ngangari dhidi ya majanga
Hakika sometimes inabidi uachane na patterns fulani ili uweze kubadilika.

Pole kwa mwanamke aliye wehuka, na hongera kwa jamaa kuweza kuwa mtu imara.
 
Sometimes watu hugeukia addiction Kam pombe na ngono, kujaribu kuondoa maumivu ya kumpenda mtu.

Yule alikuwa anafanya yale sio kwasababu hapendi, ila alitaka kupata temporary relief.
Duh
 
Kijana wangu naona unakuwa matured kwa sasa, keep growing ikiwezekana ile hukumu ya miezi sita ikiisha u-merge I'd tu utembee na hii.

Ujumbe wangu ni kwamba hakuna mtu ambaye ana roho ngumu kuna wakati unafika tu unajikutq unakuwa na fragile heart unafanya vitu ambavyo ni vya hovyo na baadae unaanza kujutia.
 
She's in her 40s now, Sidhani kama ana any hope tena.

By the time anaachwa she was in her early 30s na hakupata muda wa kujiinua, sasa hivi ndo hawezi kabisa. Maana kama ni trauma nilisha kuwa soo chronic

Pole yake sana.
I can feel the pain anayopitia.
Akikumbuka yale maisha na mtoto wake. Dah. Ni ngumu kuhandle.

Ila Umesema ni Mwl.
Je huko aliko kwa Mama yake . Bado anaendelea kufundisha?.

Huyo anatakiwa apate mwanaume sahihi ili amtulize . Otherwise atapotea kabisa.

40 yrs bado anayo nafasi ya kurekebisha na kufurahia maisha.
 
Hakika sometimes inabidi uachane na patterns fulani ili uweze kubadilika.

Pole kwa mwanamke aliye wehuka, na hongera kwa jamaa kuweza kuwa mtu imara.
Hakuna mwenye taarifa za jamaa baada ya tukio, yule mama amishakufa kwa Ukimwi.
Watoto waneshaolewa. Ni miaka ya 2000 mwanzoni huko
 
Au kapagawa kwa sababu mume wake alikua na hela nyingi, na yeye hakua na mradi wowote wa kumuingizia pesa..kutoka kupewa matumizi ya 1 million tsh per month..hadi 0.. mtu anaona kama amefukuzwa kazi kwenye kampuni..

Hata wadada wengi wa mjini unakuta kapangishiwa nyumba analipiwa Kodi ya million 1 kwa mwezi, amepewa gari, iphone, furniture za ndani, sponsor akimuacha, mdada atapitia depression Kali, k.v aliajiriwa

Au someone dealt with her traditionally ili kumvuruga akili..kuachika iwe tu kisingizio Cha kuvurugika akili.. Seran leo dada binti kiziwi
 
Ndio ninachokipitia sasa hivi, vipi unatuonea wivu na wewe au?
Au someone dealt with her traditionally ili kumvuruga akili..kuachika iwe tu kisingizio Cha kuvurugika akili.. Seran leo dada binti kiziwi
Everything is possible under the sun!
 
Kuna jamaa alitorokea kusikojulikana akatelekeza familia baada ya kumfumania mke wake live, baadaye mke naye aliwehuka

Kabla ya tukio jamaa alionekana kama ngangari dhidi ya majanga
Katika haya maisha mara zote nimekuwa nikisema “Usimlaumu mtu kwa matokeo yanayoonekana baada ya kukumbwa na changamoto”

Changamoto zinazidiana, watu pia wanazidiana katika kukabiliana na kuivuka hiyo mitihani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…