Mnavyofanyia watu matukio muwe mnafikiria kidogo

Mwanamke msaliti sio wa kusamehe. Ukishajua unawindwa unapaswa kuwa makini sana kwa kila jambo kwa sababu kosa lako moja tu ni ushindi kwa wakuwindao.

Kuna watu kumove on hawawezi na wakiweza ni kwa muda tu na matokeo yake hiyo hali inaleta uharibifu wa jumla maishani.
 
Ni kweli kabisa, mara nyingi upande wa mwanaume huwa na chuki kwa mwanamke, huenda ni kwasababu ya mali na si vinginevyo
Unakaza na tu malimali.!

Mtu kakutwa na mwanaume mwengine bado unaona si tatizo kwako mali ndio tatizo

Mbona inaonesha umalaya haukusumbui..! Kwenu mtu kugongwa sio kitu.!?
 
Shukran mkuu, kama hutojali niufanyie mpango ID yangu irudi kwa hewa maana I might lose it.. 😔
 
Kijana tumemkomaza huenda akatulia apambanie badge ya U-platnum 😎 sasa hivi
Mkuu, kati ya watu walio jifunza kupitia pain ni mimi, ila kuna majitu kazi yao ni kubaki na identity ile ile maisha yao yoote.

Huyo jamaa nilisha muweka ignore list kabisa
 
Shukran mkuu, kama hutojali niufanyie mpango ID yangu irudi kwa hewa maana I might lose it.. 😔
Kataa rufaa upunguziwe adhabu, halafu ikifunguliwe i-merge na hii , tumia hii hii tu ushatoka kama Bwana Misosi
 
Halafu licha ya kitendo chenyewe

Kwa mwanamke hata ile tabia ya kufanya mwanaume mwengine ambaye si memeo ahisi anaweza kukufikia ni umalaya nao

Unajua umeolewa kwanini usiwe na mipaka inayofanya wanaume wakwere wajue sehemu yao
 
Ali acha ualimu, na huwa a arudi annnafannya kazi kwa muda mfupi then anapata episode tena a arudi kulewa,

Kuna kipindi aivimba miguu, na kudhoofika mpaka watu wakasema tunasubiri kuzika ila alipata nafuu, then baada ya nafuu alikaa muda mfupi tena akarudi kwenye ulevi.

Sometimes unaweza kudhani mtu karogwa kumbe ni trauma tu
 
Ulitaka apigwe shaba?
 
Kataa rufaa upunguziwe adhabu, halafu ikifunguliwe i-merge na hii , tumia hii hii tu ushatoka kama Bwana Misosi
Nipe the whole process mkuu, nimejaribu wanasema nisuubiri Nita subiri mpk lini?
 
Kazi hiyo! Story limekatikakatika vibaya jamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…