Mnavyofanyia watu matukio muwe mnafikiria kidogo

Hakuna mwenye taarifa za jamaa baada ya tukio, yule mama amishakufa kwa Ukimwi.
Watoto waneshaolewa. Ni miaka ya 2000 mwanzoni huko
Aisee. Ile incident ya kuachwa ndo ilimpeleka shimoni zaidi.
 
Kuna mengi sana nyuma ya pazia ambayo sisi wa nje tunaweza tusiyajue.

Huenda ni kweli akiona hana destiny nzuri tena. Kuachwa na ulikuwa na maisha mazuri nayo ni kipengele, maana unakuwa na regrets za what if usinge achika?
 
Nipe the whole process mkuu, nimejaribu wanasema nisuubiri Nita subiri mpk lini?
Upite muda hata miezi miwili halafu muombe Mkurugenzi mwenyewe, atashauriana na management watakufungulia tu
 
Ni kweli kabisa.
 
Aisee. Ile incident ya kuachwa ndo ilimpeleka shimoni zaidi.
Ni kweli akitumbukia kwenye ulevi matata na walevi wa gongo wakawa wanamfurahia, na Hana uhakika wa chakula.
Haya maisha haya .....
 
Ni kweli akitumbukia kwenye ulevi matata na walevi wa gongo wakawa wanamfurahia, na Hana uhakika wa chakula.
Haya maisha haya .....
Ndo namna wanawake wasio na hope hufanya. Maana anakuwa kakosa nguvu hata ya kujipambania maisha yake
 
Halafu licha ya kitendo chenyewe

Kwa mwanamke hata ile tabia ya kufanya mwanaume mwengine ambaye si memeo ahisi anaweza kukufikia ni umalaya nao

Unajua umeolewa kwanini usiwe na mipaka inayofanya wanaume wakwere wajue sehemu yao
Hawana mipaka wanajirahisisha sana na ni wake za watu
 
Just like the way wewe mwanaume una fall into temptations nao pia wanaangukia huko. Hakuna binadamu aliyekamilika
Wanawake hufungua njia ya mahusiano kwa 80%. Watu wazima tunajua hilo, vijana mtajua wenyewe kubisha au kukubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…