Mnavyofanyia watu matukio muwe mnafikiria kidogo

Wahuni wakasema ijui size ya vita unayopigana nayo,kisha fanya mikakati sahihi.

Umeshaona una ndoa yenye vita kali sana kutoka kwa ndugu,bado nguvu ya kusimama na mwanaume mwingine unaitoa wapi??kama angekuwa smart,basi huyo aliyekuwa akisimama naye alifaa awe ndiye next move ikiwa mambo yangeharibika sio kuchagua pombe.

Huwa naongea sana na wanawake,ktk maisha penda sana kutizama mbele juu,ukiamua kucheat atleast cheat na mtu bora kumzidi mumeo na uwe na uhakika atakusitiri mambo yakiyumba,una mume prof,meneja,mchungaji,Eng,unakwenda kutiwa na boda boda😆😆,ukishikwa ukafukuzwa unarukwa na akili,fool.
Kwani hukujua gharama za unachofanya!!!!

Jukumu la kuujua udhaifu wa kifua chako ni lako mhusika sio la anayekuhukumu baada ya wewe kumkosea.
 
Ustaarabu anapata wapi, na alisha umizwa vibaya? She's tormented na kuinuka tena ishakuwa mtihani
Anaweza kuinuka, it is never too late! Asili haina kuwahi wala kuchelewa.She can start afresh na akawa na maisha mazuri zaidi ya hayo ya mwanzo.
Kuhusu mambo ya kucheat, I cant judge, sababu nimegundua ngono inafanyika sana, sema ina usiri mkubwa, wanaomnyooshea vidole ndo haohao wanakitembeza au kutembezewa balaa.

Inawezekana alitengenezewa mazingira, akajaa, watu wakamaliza kazi.
Aendelee mbele, kumlilia binadamu mwenzako mwenye nyama na damu ni ukichaa cha kiwango cha juu..
 
Kijana wangu Gunner11 karibu sana ila uache wenge sasa, ushakua mkomavu, si unajua raia wa humu dk mbili unacheka nao dakika mbili wanakubagaza ? 😂
 
Atafute ka Serengeti ambako hakana hela akatunze kamliwaze
 
Ni kweli kabisa mkuu. Wanawake wengi hufikiri ndoa ni kitu cha kuchezea. Na wana ruka na vijana wadogo waki dhani ni sawa tu, mpaka kiwalambe ndo watambue kuwa kumbe maisha yao hayakurevolve kwenye uhuru na uzuri wao
 
Kweli kabisa, kubaki kwenye majonzi ni kuendelea kuruhusu moto ukuchome wakati uhuru wa ku uzima unao
 
Kinyonga hajawahi kukaa na rangi moja kwa muda mrefu.
Nimeipenda hii😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…