Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Andika tu maumivu.., washakufanya vibayaWanirudishie my laki 7
Aisee!! Nilikuwa mbioni kujiunga ila naona wakuu mnanivunja moyo
Usipoteze muda kumshauri mtu asiye na akili, mwenzake anajaribu fursa za kibiashara yeye analeta ujima.
Kuna rafiki yangu wa damu jana alikuja kwangu akiomba nimshauri kuhusu mke wake kulazimisha kujiunga forever living. Mke wa huyu jamaa yangu ni nurse...na yeye ni mfanyabiashara. iMke wake baada ya kushawishiwa na rafiki yake wa kike ambaye mme wake ndo yupo forever. Baada ya kukubali kujiunga aakakopeshwa hela ya kujiunga...jamaa kamind sana. Maana alishirikishwa akakataa. Me nimemushauri amuache aone maendeleo yake ila jamaa kamind mno mpaka waligombana. Hebu tupeni mawazo yenu tumsaidie kumshauri....kama wanajamvi
Kuna dada amenifuata nihudhurie huo mkutano. Baadae nikapewa siri ukihudhuria na kujiunga aliyekupeleka anaongezewa mshahara kwa kutumia umbumbumbu wako. Baadhi ya bidhaa amezileta dukani kwangu wala hakuna hata mteja anayezitaka wala kuziuliza. Ni zaidi ya Escrow.