Mnawachukuliaje watu wa GNLD na Forever Living Products?

Walikuwa wananipigia simu mara kwa mara,cha ajabu nisipopatikana Tanzania wanajua namba ambayo watanipata nje ya Tz. Nikiwauliza issue ninini hawaniambii. Wananiambia nifike maeneo ya Sinza mori watakuja kunipokea. Dogo 1 akakazania yeye kwenda nikampatia namba ya simu ya yule dada wa gnld na kisha akafika. Wakamkazania mimi niko wapi akawaambia nitakuja. Dogo akaambiwa atoe 50,000tshs. Akasema hana bali kaja kunisaidia mimi. Yule dada akamtolea dogo. Dogo mwenyewe kakimbia kwa kununua dawa ili naye auze na kutofanikiwa na kupata hasara.
 


Kaka, put this in ur mind, "When u give urself a name, such a name must be put into test ". They claim to be people who think big and aim high. Sijasema nawadharau watu wanao ingiza shilingi laki sita kwa mwezi. My argument wa basing upon their claim! Ni up.u thread wa hali ya juu sana kwa Kijana mwenye above 25 years tena graduate, ambaye anasema ana think big na ku aim high, kusimama mbele ya kadamnasi ya watu na kujisifu kwamba anaingiza shilingi laki sita kwa mwezi, tena anaongea kwa msisitizo na kurudia rudia, Kaka do u think it is right?.. I hope ur old enough to understand what am talking about
 
Ameliwa huyo hana lolote ....upewe Dawa kwa kuzinunua halafu hujui mteja yuko wap? na hujui kama zitanunuliwa.....

Ndio shida ya kuishi kwa kuambiwa. Unayeliwa ni wewe, tena unaliwa sasa.

Haya unayohubiri sijui yanahusiana nini na yeye kuhitaji matibabu ya gout kama sio unawashwa tu mkuu. Kubeba dawa mkononi ni chaguo la mtu na hii wanafanya wanaotaka CASH. Lkn FLP wanafanya Network Marketing. Kwa mfano, BADILI TABIA akijiunga chini yangu, kwa kila manunuzi anayofanya mimi napata % fulani.

Waliotangulia mwanzo walifaidika kwani kuna watu wengi chini yao, mimi ilinikatisha tamaa na kwa kuwa sikuwa na nafasi nayo niliishia kununua nutrition supplements kwa ajili yangu. Kwa hiyo huyu anayetaka dawa hafungwi kwamba lazima aziuze, no, unaweza kujinunulia mwenyewe. By the way, sio dawa ni nutritional supplements
 
Last edited by a moderator:
No wapuuzi matapeli wakubwa kaeni NATO mbali. Wale waliojiunga kitambo ndio watazd kunufaika
 
Ni kweli hapo ndio watu wanapokosea kwamba unatakiwa kuheshimu kazi ya mtu mwingine no matter how much they are earnig out of it...but well kil mtu ana technique yake hata unapoenda dukani mwenye duka will use any way to convince you that product yake ni nzuri...who knows?you may actually be convinced. Muhimu ni kuongea ukweli,the business needs efforts.
 
......mpaka utapoanza uguza mgonjwa wa UKIMWI, saratani, au hata 'uzee' ndipo utapoona faida ya GNLD products, kuanzia food suppliments i.e Phyto defence, Omega-3, Aloe Vera drink, Cal- mag etc.
 
......mpaka utapoanza uguza mgonjwa wa UKIMWI, saratani, au hata 'uzee' ndipo utapoona faida ya GNLD products, kuanzia food suppliments i.e Phyto defence, Omega-3, Aloe Vera drink, Cal- mag etc.

Kwi kwi kwi we ni nouma wakikusikia!!!!
 
Reactions: Mbu
Du! kuna watu humu wamejitoa mhanga kuwatetea hadi huruma.
 
hawa gnld wana zile journal zao zinazo onyesha testimonies na fantasies za watu mbalimbali waliojiunga nayo.zinatamanishaje.unaweza ukaingia box.
 
sasa hapo umejirekebisha nini?,acha ubwege dogo.
Nimekusouma kaka, next time nitajirekebisha and sinta post thread yoyote hapa JF kwa kumix Swahili and Kiingereza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…