miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
Kuna mtu alinikera juzi kisa hii forever living.....!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani msitukane vitu msivyojua. kama walikushauri ukakataa ni uamuzi wako lakini usiwatukane kuwa ni wizi wa ki-mbwa. najua watu wengi wanaouza hizi products na wanapata hela nzuri sana huwezi amini. wananunua na kuuza hizi products,wengine hadi wana maduka. jaribu kuuliza upate ukweli.
Hawa jamaa wanatofauti gani na telexfree..??! Hawa si tu ni mbwa.., bali ni mijibwa mijizi kabisaaa!!! Hivi wewe leo hii mkubaliane eti kwamba kila mtu aweke elfu kumi kwenye kapu moja alafu eti mgawane hilo kapu kila mtu sawa sawa alafu eti mtegemee kupata pesa zaidi ya ile elfu kumi uliyoweka..???! hivi kweli kama si wizi wa ki-mbwa huu ni wizi wa kinini.., mi nilichomoa japo walijaribu kuni-brain wash na shuhuda za ki-mbwa kabisa. wanaofaidika ni wale walio anza mwanzoni.., wengine ni mazezeta a.k.a mazombie yakuwa nenepesha wale upliners.., em' tumia asilimia 0.0001 tu ya ubongo wako huo na utanielewa kwa asilimia 20,000..!!!!
ndugu hujui kabisa hawa forever living wanavyofanya kazi na unawahukumu wakati hata hujui wanachofanya. hayo unayoyasema hapo juu hamna hata moja la ukweli. hawa wanauza products, sio kama deci au telexfree hawana chochote wanachouza.

Du iyo issue walinisomesha lkn nikachomoa kabisa
Wezi wakubwa hao kama Bayport vile......
Kuna DECI ambayo imekuwepo humu nchini mda mrefu tu (Forever Living Products).., ipo disguised as a Multi level marketing sijui nini.., eti una nunua dawa kwa shillingi laki saba then unaenda kuziuza sijui.., alafu eti ukimshawishi mwenzako kwenda kukunua hayo madawa eti ile pesa yake mnagawana.., yaan dawa ambazo kiu halisia zina-gharimu elfu 20 we una-nunua kwa laki saba..!!!, then huyo unae-mleta na yeye akiweza kupata maboya wenzake wa kwenda kununua basi ile pesa yao mnagawana nyie up-liners wale and the pyramid goes on and on..! huu si wizi wa ki-mbwa kabisa..! kwanini hawapigwi mnyororo hawa.., kwanza hata sijui kama wana-mashine za EFD hawa..!!!
View attachment 163809
Kwa kweli hata mimi nilichomoa tena nilimchomolea rafiki yangu wa karibu kiaina kwani sababu ya kumheshimu nilimpa lugha ya kumdanganya ili asinielewe vby. Lakini kiukweli ile ni DECI nyingine hapa nchini
jamani msitukane vitu msivyojua. kama walikushauri ukakataa ni uamuzi wako lakini usiwatukane kuwa ni wizi wa ki-mbwa. najua watu wengi wanaouza hizi products na wanapata hela nzuri sana huwezi amini. wananunua na kuuza hizi products,wengine hadi wana maduka. jaribu kuuliza upate ukweli.
Duuuh aixee mi kuna jirani angu kila cku anazunguka na bdhaa zake cna uhakika kama kauza hata moja, alafu kuna rafk angu katumia product yao foreva ya kupunguza uzito! Haaaah hadi dawa zmeisha hajapungua hata nusu kilo, na aliinunua laki 3, kabaki amenuna tu...

huyo lazima atafunga nazo ndoa hizo bidhaaa....imekula kwake