wakuu kwanza poleni....
serikali haijakaa kimya kwa kifupi two to three week from today mtaona kazi ya serikali kwa sababu kuwapiga marufuku kunatakiwa kushirikisha wizara kadhaa.
tulipongeze jeshi la polisi kwa sababu ni siku nyingi tu wamekuwa wakitaka kupiga marufuku biashara hii haramu ya consumer fraud lakini changamoto ni mambo ya protokali za kisheria.
ushauri usijiunge, kama ndugu yako au rafiki yako yupo huko auze bidhaa fasta vinginevyo itakula kwake muda si mrefu
Hapa unazungumzia serikali ipi?
Biashara inahitaji kupambana nawajua wadau wa 4ever living wanapiga hela sana kuna m1 ana nyumba ya ghorofa na anapush ndinga ya 0 km biashara nzuri hii ukijituma! iendelee.
Kuna DECI ambayo imekuwepo humu nchini mda mrefu tu (Forever Living Products).., ipo disguised as a Multi level marketing sijui nini.., eti una nunua dawa kwa shillingi laki saba then unaenda kuziuza sijui.., alafu eti ukimshawishi mwenzako kwenda kukunua hayo madawa eti ile pesa yake mnagawana.., yaan dawa ambazo kiu halisia zina-gharimu elfu 20 we una-nunua kwa laki saba..!!!, then huyo unae-mleta na yeye akiweza kupata maboya wenzake wa kwenda kununua basi ile pesa yao mnagawana nyie up-liners wale and the pyramid goes on and on..! huu si wizi wa ki-mbwa kabisa..! kwanini hawapigwi mnyororo hawa.., kwanza hata sijui kama wana-mashine za EFD hawa..!!!
View attachment 163809
Mkuu ama HUJALIZWA au wewe ndo MLIZA WATU na huo wizi wenu wa kutuonesha mipicha ya maghorofa ya ulaya na kudanganya ni ya baadhi yenundugu hujui kabisa hawa forever living wanavyofanya kazi na unawahukumu wakati hata hujui wanachofanya. hayo unayoyasema hapo juu hamna hata moja la ukweli. hawa wanauza products, sio kama deci au telexfree hawana chochote wanachouza.
Mkuu umesema wiki tatu sio.., mi naanza kuzihesabu kuanzia sasa..! TUNASUBIRI UTEKELEZAJIwakuu kwanza poleni....
serikali haijakaa kimya kwa kifupi two to three week from today mtaona kazi ya serikali kwa sababu kuwapiga marufuku kunatakiwa kushirikisha wizara kadhaa.
tulipongeze jeshi la polisi kwa sababu ni siku nyingi tu wamekuwa wakitaka kupiga marufuku biashara hii haramu ya consumer fraud lakini changamoto ni mambo ya protokali za kisheria.
ushauri usijiunge, kama ndugu yako au rafiki yako yupo huko auze bidhaa fasta vinginevyo itakula kwake muda si mrefu
Nilishawahi kufanya, nilinunua mzigo wa 320,000 by then.
Kazi ilikuwa ngumu balaa, nikakomaa na huyo supervisor wangu aniuzie mzigo hadi nikaisha.
Baada ya kuisha nilikimbia kama sina akili nzuri na hivyo vibonus vyao nikawaachia
Mi nilishawahi hudhurua mafunzo yao wakawa wananionesha eti watu waliofanikiwa kupitia hiyo biashara..alf cha ajabu wananionesha wazungu ndo wamefanikiwa...ukimuuliza wewe je tangu umeanza umefanikiwa lipi? anakuonesha sijui nilishawahi kupelekwa dubai,sijui South Africa ..nikaona wezi tu....
Me kalikuja kadada kamoja karembo ofisini kwangu kakanieleza blah blah zake nikawa nakatazama tu mara kaniambie ntavuna laki 6 per month...mara tiketi kwenda Nairobi sijui South Africa n.k....nikaona haka kana njaa tena ile ya somalia na labda kananichukulia poa. Kwa vile me mwenyewe ni kiwembe ile 'mbaya' na gegedo lilishaanza kudisa nikapanga nimle papuchi kabisa.
Basi nikamwambie ok nataka kujiunga nijazuga niko interested na hiyo bizinesi kumbe mwenzake nipo interested na Papuchi yake, nikamwambia kwavile kuna mtu namuwahi somewhere inabidi twende wote ili anielekeze vizuri jinsi ya kuopareti hiyo biashara. Nikamchukua mpaka kwenye ka verossa kangu (Nia ilikuwa kumuua kisaikolojikale) tukaenda mpaka hotel nikampiga lunch huku nikizungumza na jamaa yangu tuliepanga kukutana hapo. Then nikakipa hiko kibinti bizinesi kadi yangu kanitafute kesho jioni. Kesho kweli kakanitafuta as usual nikakitia ndimu kikakolea mwanaume nikala papuchi....Na mpaka sasa ni mchepuko wangu
Nimekusouma kaka, next time nitajirekebisha and sinta post thread yoyote hapa JF kwa kumix Swahili and Kiingereza.
Hata mimi kuna rafiki yangu wa toka utotoni sasa hataki hata kuwasiliana na mimi, kisa nimemuyeyusha kujiunga na FOREVER LIVING.Mie wamenichosha na kuna baadhi wamenuna kisa nimegoma kujiunga nao....