Swali la msingi sana hili....Nijuavo mimi dawa au vipodozi au vyakula vitokavo nje ya nchi wazima zisajiliwe na TFDA je hawa living forever,gnld,tiash na wengine wa jamii hii wamesajiliwa na tfda na kama bado kwa nini wasifungiwe
Mkuu ni kweli nilihudhuria siku moja, nilikuta totoz za nguvu...Me kalikuja kadada kamoja karembo ofisini kwangu kakanieleza blah blah zake nikawa nakatazama tu mara kaniambie ntavuna laki 6 per month...mara tiketi kwenda Nairobi sijui South Africa n.k....nikaona haka kana njaa tena ile ya somalia na labda kananichukulia poa. Kwa vile me mwenyewe ni kiwembe ile 'mbaya' na gegedo lilishaanza kudisa nikapanga nimle papuchi kabisa.
Basi nikamwambie ok nataka kujiunga nijazuga niko interested na hiyo bizinesi kumbe mwenzake nipo interested na Papuchi yake, nikamwambia kwavile kuna mtu namuwahi somewhere inabidi twende wote ili anielekeze vizuri jinsi ya kuopareti hiyo biashara. Nikamchukua mpaka kwenye ka verossa kangu (Nia ilikuwa kumuua kisaikolojikale) tukaenda mpaka hotel nikampiga lunch huku nikizungumza na jamaa yangu tuliepanga kukutana hapo. Then nikakipa hiko kibinti bizinesi kadi yangu kanitafute kesho jioni. Kesho kweli kakanitafuta as usual nikakitia ndimu kikakolea mwanaume nikala papuchi....Na mpaka sasa ni mchepuko wangu
hivi hii ni kweli?Biashara yao inaitwa network marketing.Wanakulaghai unanunua bithaa za laki 6 unaambiwa uatafute wengine wa4 nao wanunue bithaa za laki6 kila mmoja,kila wakinunua wewe unapata kamisheni.
Wana dawa za meno,za presha na dawa za kuongeza nguvu za kiume,kama una famasi au supermaket unaambiwa usiziweke over counter WHY?
Pure kamari, Pure DECI na serikali imekaa kimya pengine viongozi wana kamisheni yao hapo....Aisee nije nisikie mtu ananishawishi niingie kwenye hii DECI namba mbili naanza na huyo huyo kumkata mabanzi, haiwezekani mtu utoe laki saba kijingajinga ni bora uanzishe biashara ya vitumbua na siyo kwenye hii kamari
Mkuu ni kweli nilihudhuria siku moja, nilikuta totoz za nguvu...
Mkuu nikisahau naomba nikumbushe zikifika siku 21. Wananikera sana hawa wezi wa mchana...Mkuu umesema wiki tatu sio.., mi naanza kuzihesabu kuanzia sasa..! TUNASUBIRI UTEKELEZAJI
Mkuu unauliza makofi Oysterbay Police? Nina kamoja kadogo dogo hivi nilikafahamu nilipohudhuria semina yao na huwa nakapa lifti mara kwa mara.Mkuu changamkia 'fursa' hiyo kuna totoz za kufa mtu afu kwa vile zinanjaa ni mwendo wa kugusa tu kitu mwake
Mkuu inawezekana tulikuwa tunahudhuria wote. Kuna siku nilikwenda wakaweka DVD ya mzungu mmoja aliyekuwa "TAX DRIVER", baada ya kujiunga sasa amekuwa bilionea mwenye kumiliki viwanda vingi, Magari ya kifahari, Helicopter/Ndege na majumba ya kifahari ajabu..niliwatafutaga kitambo wakanambia tukutane millenium tower, baada ya kuongea nao nikagundua ni "wizi mtupu" nikaachana nao, mi mwenyewe born town utaanzaaje kuniibia
Mkuu unauliza makofi Oysterbay Police? Nina kamoja kadogo dogo hivi nilikafahamu nilipohudhuria semina yao na huwa nakapa lifti mara kwa mara.
Wewe umejiunga lini?Biashara inahitaji kupambana nawajua wadau wa 4ever living wanapiga hela sana kuna m1 ana nyumba ya ghorofa na anapush ndinga ya 0 km biashara nzuri hii ukijituma! iendelee.
Mkuu ni vigumu kupoteza fursa kama hizo, maana kalijilingesha kenyewe siku nilipohudhuria pale Millenium Tower. Tena kosa lao ni kufanyia "adjacent" na Mzalendo Pub, niliitumia fursa hiyo vizuri tu....Safi sana..!!
Mkuu nikupe ushauri wa bure! Acha ulimbukeni! Ukiamua kutumia kiswahili andika kiswahili na ukiamua kutumia kiingereza andika kiingereza. Hii changanya uliyofanya inaharibu ladha nzima ya ulichoandika na inaonyesha ulimbukeni wa hali ya juu!