Mnawachukuliaje watu wa GNLD na Forever Living Products?

Mnawachukuliaje watu wa GNLD na Forever Living Products?

Nijuavo mimi dawa au vipodozi au vyakula vitokavo nje ya nchi wazima zisajiliwe na TFDA je hawa living forever,gnld,tiash na wengine wa jamii hii wamesajiliwa na tfda na kama bado kwa nini wasifungiwe
Swali la msingi sana hili....
 
Me kalikuja kadada kamoja karembo ofisini kwangu kakanieleza blah blah zake nikawa nakatazama tu mara kaniambie ntavuna laki 6 per month...mara tiketi kwenda Nairobi sijui South Africa n.k....nikaona haka kana njaa tena ile ya somalia na labda kananichukulia poa. Kwa vile me mwenyewe ni kiwembe ile 'mbaya' na gegedo lilishaanza kudisa nikapanga nimle papuchi kabisa.
Basi nikamwambie ok nataka kujiunga nijazuga niko interested na hiyo bizinesi kumbe mwenzake nipo interested na Papuchi yake, nikamwambia kwavile kuna mtu namuwahi somewhere inabidi twende wote ili anielekeze vizuri jinsi ya kuopareti hiyo biashara. Nikamchukua mpaka kwenye ka verossa kangu (Nia ilikuwa kumuua kisaikolojikale) tukaenda mpaka hotel nikampiga lunch huku nikizungumza na jamaa yangu tuliepanga kukutana hapo. Then nikakipa hiko kibinti bizinesi kadi yangu kanitafute kesho jioni. Kesho kweli kakanitafuta as usual nikakitia ndimu kikakolea mwanaume nikala papuchi....Na mpaka sasa ni mchepuko wangu
Mkuu ni kweli nilihudhuria siku moja, nilikuta totoz za nguvu...
 
Biashara yao inaitwa network marketing.Wanakulaghai unanunua bithaa za laki 6 unaambiwa uatafute wengine wa4 nao wanunue bithaa za laki6 kila mmoja,kila wakinunua wewe unapata kamisheni.

Wana dawa za meno,za presha na dawa za kuongeza nguvu za kiume,kama una famasi au supermaket unaambiwa usiziweke over counter WHY?
hivi hii ni kweli?
 
Aisee nije nisikie mtu ananishawishi niingie kwenye hii DECI namba mbili naanza na huyo huyo kumkata mabanzi, haiwezekani mtu utoe laki saba kijingajinga ni bora uanzishe biashara ya vitumbua na siyo kwenye hii kamari
Pure kamari, Pure DECI na serikali imekaa kimya pengine viongozi wana kamisheni yao hapo....
 
Mkuu changamkia 'fursa' hiyo kuna totoz za kufa mtu afu kwa vile zinanjaa ni mwendo wa kugusa tu kitu mwake
Mkuu unauliza makofi Oysterbay Police? Nina kamoja kadogo dogo hivi nilikafahamu nilipohudhuria semina yao na huwa nakapa lifti mara kwa mara.
 
niliwatafutaga kitambo wakanambia tukutane millenium tower, baada ya kuongea nao nikagundua ni "wizi mtupu" nikaachana nao, mi mwenyewe born town utaanzaaje kuniibia
Mkuu inawezekana tulikuwa tunahudhuria wote. Kuna siku nilikwenda wakaweka DVD ya mzungu mmoja aliyekuwa "TAX DRIVER", baada ya kujiunga sasa amekuwa bilionea mwenye kumiliki viwanda vingi, Magari ya kifahari, Helicopter/Ndege na majumba ya kifahari ajabu..
 
Biashara inahitaji kupambana nawajua wadau wa 4ever living wanapiga hela sana kuna m1 ana nyumba ya ghorofa na anapush ndinga ya 0 km biashara nzuri hii ukijituma! iendelee.
Wewe umejiunga lini?
 
Kuna mmoja kanipigia simu ananiletea mambo hayahaya

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mkuu nikupe ushauri wa bure! Acha ulimbukeni! Ukiamua kutumia kiswahili andika kiswahili na ukiamua kutumia kiingereza andika kiingereza. Hii changanya uliyofanya inaharibu ladha nzima ya ulichoandika na inaonyesha ulimbukeni wa hali ya juu!

Tumemuelewa
 
[h=1]Forever Living Products[/h]

[TABLE="class: infobox vcard, width: 22"]
Forever Living Products International, Inc.[TR]
[TD="class: logo, colspan: 2, align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Type[/TH]
[TD="class: category"]Private[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Industry[/TH]
[TD="class: category"]Multi-level marketing[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Founded[/TH]
[TD]1978[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Headquarters[/TH]
[TD="class: label"]Scottsdale, Arizona, USA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Key people[/TH]
[TD="class: agent"]Rex G. Maughan, Founder, Chairman of the Board and CEO[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Revenue[/TH]
[TD]$2.5 billion in 2010[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Employees[/TH]
[TD]4,100 in 2006.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Website[/TH]
[TD]www.foreverliving.com[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Forever Living Products International, Inc. (FLPI) is a Scottsdale, Arizona-based multi-level marketing company that sells aloe vera-based drinks and bee-derived cosmetics, nutritional supplements, and personal care products. FLP was founded in 1978 by Rex Maughan, who also serves as the company's CEO.[SUP][1]


[/SUP]Business model

FLPI's products are sold by multi-level marketing via online channels and through in-person presentations by the company's network of independent distributors.[SUP][2][/SUP]
A three-part special report by the Manila Times discussed similarities between FLPI's business model and an illegal pyramid scheme, noting that FLPI participants are said to be rewarded primarily for recruiting new members to the organization, rather than for selling products to genuine end-users.[SUP][3][/SUP]
[h=2]Products[edit][/h]FLPI's key product is an aloe vera beverage which comes in 3 flavors (cranberry, peach, and natural). The company also markets various personal care and household products made from aloe, including lotions, creams, soaps, hair care products, deodorant, aftershave, lip balm, toothpaste, colognes and perfumes, laundry detergent, and a burn salve.
In 1983, FLPI launched its Forever Bee products—a dietary supplement line consisting of royal jelly, bee pollen, bee propolis, and pure honey. The company later expanded its product line to include dietary supplements consisting of aloe combined with vitamins, ginseng, minerals, fish oils, garlic, and other substances.
[h=2]Violations in Hungary[edit][/h]Claims made about FLPI products were found to be in violation of several laws in Hungary related to advertising, registration of nutritional products, and the use of cosmetics as medicinal agents. As a result, the company was fined 60 million HUF (approximately $280,000 USD).[SUP][4][/SUP]
[h=2]Copyright & Trademark Lawsuit and Logo Change[edit][/h]In 2007, author Richard Bach won a lawsuit against the company for copyright infringement and trademark infringement.[SUP][5][/SUP] The lawsuit stated that for over 20 years Forever Living had used the character, storyline, and copyrighted excerpts from the novel Jonathan Livingston Seagull to promote its marketing plan. Forever Living was also accused of using images from the motion picture and novel as its corporate logo, and reproducing it on merchandise, jewelry, products, packaging, and promotional materials.[SUP][6][/SUP][SUP][7][/SUP] Shortly after, Forever Living changed its company logo from a seagull to an eagle.

Source: Forever Living Products - Wikipedia, the free encyclopedia



 
Mimi niliwahi kuingia 2004 GLND ndio nikagundua ugumu wa kazi hii.kwanza inabidi ufanye kazi kubwa sana ya kumarket product zao maana yake kazi yako inalala.wanaofaidika ni wale wenye mtandao mkubwa hasa kwa nafasi zao kama wastaafu serikalini,wasioajiriwa au hawana kazi nyingine ya kufanya ila hiyo tu.Pili inakupotezea muda wako kupata fursa zingine.Nilibahatika kuingiza mtu moja lakini kutokana na ugumu wa biashara niliachana nayo na niliyemwingiza ananilaumu mpaka leo kwamba nilimdanganya kwani alishindwa hata kupata mteja moja.
 
waliwahi kuniita kwenye moja ya semina zao,walikua wameandaa chakula na vinywaji. Niliupigaje mpunga? Nikashushia na vinywaji vya haja. Mpaka leo sijajiunga nao!
 
Back
Top Bottom