masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
- Thread starter
-
- #101
Mteja anaona bidhaaBolt mimi nipo ofisini nimpe bolt mzigo namjua mkuu? Tunafanya delivery na madereva tunaowafahamu lakini baadhi ya watu wasio waaminifu kumfikishia bidhaa ukashusha mzigo hela hujapokea ni hati hati, labda uwe unamjua
Si ndo hapo sasa, yani alijiona mfalme kweli.....akipiga simu nikichelewa kupokea ananifokea yani unaeza dhani ndo faza hausiBasi na yeye akijivika ufalme kweli. Kuna watu ni shida sana Yani hela zao wanazitoa kwa uchungu utafikiri wewe hizo bidhaa umechukua/umeleta bure
Hahahaahan aiseee unamtimuaje sasaSahih kbsa mm sitaki kbsa dharau za kijinga nawatimuwaga na Wala sijali siwez dhalilishwa kisaa elf tano
Yupo sahihi inaweza kuwa kweli ni mshamba anashangaa inakuaje uendelee kufanya biashara kizamani wakati unaweza kuiongezea thamani kama hiyo ya delivery.Sina huduma hiyo dear na hata kama ningekua nayo bado mteja hana sababu ya kunigombeza na kuniita mshamba
Wewe ukienda kutafuta huduma ukaambiwa haipo utaanza tukana watu?
Sema kama unajiweza kidogo nunua pikipiki mpe kijana awe anakusaidia kufanya delivery kwa wateja ambao hawako mbali sana.. Walau walipie nusu ya gharama, Uwe unajilia na hela ya boda pia ( ndege wawili kwa jiwe moja ).. Wateja wenyewe ndo hawa hawa hakuna kususa ni kupambana nao tu hivyohivyo hadi kielewekeKwakweli utafanya kuchoma mafuta/nauli kila siku alafu mzigo ukifika eti weka hapo twende nikatoe hela ATM ujue hamna mteja hapo. na ukimshtukia hupokei simu tena
ishinde hiyo hali. utaona biashara nyepesiSijawahi kugombana na mteja direct ila kimoyoni nakua nisha mcurse sana
Ndiyo namjibu mteja , bora nyie mnakutana na wateja wasomi walau huko mijini huku vijijini ni wakulima wengi na elimu hawana wanahitaji wakuendeshe .Huo mstari wa mwisho unamwambia mteja??
Eee haki ya nani mimi naogopa
Sio wateje wengi wakorofiishinde hiyo hali. utaona biashara nyepesi
Inakera neno la mwisho nilijisikia vibaya, nikaona biashara ife, nimefata hela anamtuma mtu "mpe pesa yake aondoke" nliumiaaaa afu bado pesa anajipangia yani kama ni elf kumi basi anasema mpe elf nane aondoke.....Sahih kbsa mm sitaki kbsa dharau za kijinga nawatimuwaga na Wala sijali siwez dhalilishwa kisaa elf tano
Ubaya wa hii biashara yangu tunaouza tupo katikati ya matajiriyaano wanaoweza kufunga mzigo mkubwaNdiyo namjibu mteja , bora nyie mnakutana na wateja wasomi walau huko mijini huku vijijini ni wakulima wengi na elimu hawana wanahitaji wakuendeshe .
Sasa nikikumbuka hata mimi sikupenda kuwa mfanyabiashara ila ufinyu wa mshahara umenifikisha huku basi naamua potelea pote watakuja wateja wapya .
Note : Usiige hivi ikiwa mnaotoa huduma fulani ni wengi utaumia , mimi naringa maana najua aende ila atarudi maana mimi ndye mwenye huduma fulani 😀
Wapige mbataMteja kaniambia nafanya biasharara kishamba jana kwa sababu hakuna free delivery
Yaani aliniwakia nahisi alikua ana stress,
Leo katuma mwingine kuchukua mzigo.
Kwa kifupi jana alinigombeza sana,ni kitambo sana kukutana na mteja mkorofi hivi,
Hayo maneno aliongea kwa simu wakati anaweka order
Je wenzangu mnadeal vipi na wateja waliovurugwa
Mkongo week mnaandikisha mzigo na bado atakwambia, mamaa ushikashirike hutaki makuta wewe tikisa wangu?? Kisa nna tako basi ananiita tikisa 🤣🤣🤣 yani wakongo jau sana.!!!Nilionganishwa na mkongo mmoja aiseee aiseee hizo sim za wasap sasa hizo clip hizo maswali
Ila wananunua mzigo wa kutosha
Na mmoja mzambia...mzmambia akija anataka wote mdeal nae tu regular costomers msideal nao
Bado naamini watanzania wateja wako vizuri sana
HUyo mkongo èeèe aisee wiki nzima mnaandaa order,ila mimi physically dukani alikuja mzambia mcongo anakuja baada ya eid
Am learning everyday ...na kama huna subira fanya retail busness utajifunza sana kuvumilia watu
BInafsi nimeingia kwenye hii biashara na kuwa competitor sababu ya madhaifu ya waliotangulia moja wapo ikiwa ni hilo la dharau kwa wateja na kingine very high priceNdiyo namjibu mteja , bora nyie mnakutana na wateja wasomi walau huko mijini huku vijijini ni wakulima wengi na elimu hawana wanahitaji wakuendeshe .
Sasa nikikumbuka hata mimi sikupenda kuwa mfanyabiashara ila ufinyu wa mshahara umenifikisha huku basi naamua potelea pote watakuja wateja wapya .
Note : Usiige hivi ikiwa mnaotoa huduma fulani ni wengi utaumia , mimi naringa maana najua aende ila atarudi maana mimi ndye mwenye huduma fulani 😀
🤣🤣🤣🤣 papaa amejaa madolari tatizo anajichubua udugu… 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu mie sitaki, nimecheka had mbavu zinaumaa.
Hutaki papaa [emoji833]? Wee huogopiii?
Hahhaah aisee huyo mzambia dah ungekuwepo hapo alafu lazima waje wawili na mtanzania mmoja utashusha sample zoteeMkongo week mnaandikisha mzigo na bado atakwambia, mamaa ushikashirike hutaki makuta wewe tikisa wangu?? Kisa nna tako basi ananiita tikisa 🤣🤣🤣 yani wakongo jau sana.!!!
Mzambia kuna siku alinifanya nimeshusha sample zote mpk nikamwambia nimechoka 😂😂😂
Mzimbwabwe mteja hana shida ila anataka umshawishi sana ikiwezekana km ni nguo ujaribu aione 🤣🤣🤣🤣
Hizi pesa tunazipata kiugumu sana, imetufanya mpk tumekuwa waongeaji
Ahhahhahaa hatareUnakuwa kiziwi na unakuwa unarudia kama operator wa voda bonyeza moja kupokea mkopo wa nipige tafu hivyoo unamsikiliza halafu unarudia yale maelezoo yakoo
Wabongo ndio sijawahi kuwaelewa hawa wa niletee nikulipe, hiyo huduma nilifuta.. njoo dukani hutaki basi.Kuna baadhi ni waaminifu, wale ambao nafahamiana nao naweza nikawatumia ndo walipie.. Ila wateja wapya asipotaka kulipia kabisa sikuizi namwambia tu Asante Karibu tena,.Nishawachoka😥
Jifunze networking skills, tuanze hapa, rule no 1 a customer is always right, rule no.2 sometimes a customers is wrong, the question is if a customer is wrong what do u doMteja kaniambia nafanya biasharara kishamba jana kwa sababu hakuna free delivery
Yaani aliniwakia nahisi alikua ana stress,
Leo katuma mwingine kuchukua mzigo.
Kwa kifupi jana alinigombeza sana,ni kitambo sana kukutana na mteja mkorofi hivi,
Hayo maneno aliongea kwa simu wakati anaweka order
Je wenzangu mnadeal vipi na wateja waliovurugwa