Mnawezaje kuishi/kukaa na mwanamke anaeongea na simu muda wote tena vitu visivyo na msingi?

Huo ni ukosefu wa adabu, nitakachofanya ni kunyakua simu na kuibamiza chini. Mwanamke mwenye heshima hawezi kuongeaongea hovyohovyo na simu mbele ya mume wake
 
Kama wameachana huyo mwanamke kaja kufanya nini kwa mwezi mmoja hapo?
 
Anafanya makusudi kukuumiza hana lolote, hiyo inaitwa "mind game" kuna kipindi nilikua na House girl simu yake ilikua bzy kuliko ya kwangu kila wakati, tatizo ni lack of confidence au kutojiamini.
HOuse Girl mliachana?
 
Kama anaongea kwa lugha unayoielewa shukuru Mungu na upunguze ujuaji, sisi wenzako wake zetu wanaongea kilugha ila ukiuliza alikua anaongea nini akutafsirie anaanza kucheka cheka na kukuacha njia panda
😅
 
This is the best advice...wewe kwenye guidance and counselling umeiva very good observation.
 
Na mume ambaye yupo busy na simu mda wote 24/7 hakuna stori wala nini
 
Angalia kwa mqkini anaweza akawa na madeni au issue zingine anazokuficha na anaona huwezi kuwa msaada kwake, yaani anaishi double life,mwanamke ni dhaifu sana kujismamia.
 
Sasa wewe mtu ushaachana nae hata akiongea mashudu daily we yanakuhusu nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…