Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jumatatu ile nyingine mkuu si hiiHaya kesho ni ijumaa wahesabie mpunga waondoke jumatatu shule...
Labda hataki kelele.Sasa umeachana nae yeye kuongea na simu unaumia nn
Kama wameachana huyo mwanamke kaja kufanya nini kwa mwezi mmoja hapo?Sifa moja ya Mwanaume ni uvumilivu yan unashindwa kua mvumilivu kwa muda wa mwezi mmoja tu zen kawaondoka ukaendelea na mambo zako
Sasa ukimfukuza kisa anaongea sana na simu nani ataonekana anamatatizo, hii itawasibitishia ata watoto wako kua ww ndo ulikua ttzo ad familia kuvunjika so acha utoto
Lakin pia next week shule nying zinafunguliwa hesabu pesa wape waondoke
Basi awatoe kiakili mwanaume huwezi kosa mbinuJumatatu ile nyingine mkuu si hii
HOuse Girl mliachana?Anafanya makusudi kukuumiza hana lolote, hiyo inaitwa "mind game" kuna kipindi nilikua na House girl simu yake ilikua bzy kuliko ya kwangu kila wakati, tatizo ni lack of confidence au kutojiamini.
Si muda mrefu anaenda kupasha vilivyolalaSasa umeachana nae yeye kuongea na simu unaumia nn
😅Kama anaongea kwa lugha unayoielewa shukuru Mungu na upunguze ujuaji, sisi wenzako wake zetu wanaongea kilugha ila ukiuliza alikua anaongea nini akutafsirie anaanza kucheka cheka na kukuacha njia panda
This is the best advice...wewe kwenye guidance and counselling umeiva very good observation.Mara nyingi mtu aneongea na simu huwa ni dalili ya upweke. Anakuwa anajaribu kuziba ombwe la upweke kwa kujiliwaza kwa njia ya kuongea na watu. Ukimchunguza kwa umakin utagundua kuna kitu kimemiss katika maisha yake. Hana kampani au ana stress so anajaribu kuziondoa kwa kuongea na kucheka na watu kwenye simu.
Jaribu kumpa kampan umuonyeshe unamjali piga nae story ataacha kuongea na simu atakuwa anaongea na wewe. USIMFUKUZE NI MAMA WA WATOTO WAKO.
Wanao watajisikia vibaya ukimfukuza mama yao.
Nilikuwa natafuta comment yako maana spana zako hazinaga mswalie nani 🤣🤣🤣🤣Sema umeona hakuzingatii
😹😹😹Nilikuwa natafuta comment yako maana spana zako hazinaga mswalie nani 🤣🤣🤣🤣