Mnawezaje kuishi/kukaa na mwanamke anaeongea na simu muda wote tena vitu visivyo na msingi?

Mnawezaje kuishi/kukaa na mwanamke anaeongea na simu muda wote tena vitu visivyo na msingi?

Huo ni ukosefu wa adabu, nitakachofanya ni kunyakua simu na kuibamiza chini. Mwanamke mwenye heshima hawezi kuongeaongea hovyohovyo na simu mbele ya mume wake
 
Sifa moja ya Mwanaume ni uvumilivu yan unashindwa kua mvumilivu kwa muda wa mwezi mmoja tu zen kawaondoka ukaendelea na mambo zako

Sasa ukimfukuza kisa anaongea sana na simu nani ataonekana anamatatizo, hii itawasibitishia ata watoto wako kua ww ndo ulikua ttzo ad familia kuvunjika so acha utoto
Lakin pia next week shule nying zinafunguliwa hesabu pesa wape waondoke
Kama wameachana huyo mwanamke kaja kufanya nini kwa mwezi mmoja hapo?
 
Anafanya makusudi kukuumiza hana lolote, hiyo inaitwa "mind game" kuna kipindi nilikua na House girl simu yake ilikua bzy kuliko ya kwangu kila wakati, tatizo ni lack of confidence au kutojiamini.
HOuse Girl mliachana?
 
Mara nyingi mtu aneongea na simu huwa ni dalili ya upweke. Anakuwa anajaribu kuziba ombwe la upweke kwa kujiliwaza kwa njia ya kuongea na watu. Ukimchunguza kwa umakin utagundua kuna kitu kimemiss katika maisha yake. Hana kampani au ana stress so anajaribu kuziondoa kwa kuongea na kucheka na watu kwenye simu.
Jaribu kumpa kampan umuonyeshe unamjali piga nae story ataacha kuongea na simu atakuwa anaongea na wewe. USIMFUKUZE NI MAMA WA WATOTO WAKO.

Wanao watajisikia vibaya ukimfukuza mama yao.
This is the best advice...wewe kwenye guidance and counselling umeiva very good observation.
 
Na mume ambaye yupo busy na simu mda wote 24/7 hakuna stori wala nini
 
Angalia kwa mqkini anaweza akawa na madeni au issue zingine anazokuficha na anaona huwezi kuwa msaada kwake, yaani anaishi double life,mwanamke ni dhaifu sana kujismamia.
 
Sasa wewe mtu ushaachana nae hata akiongea mashudu daily we yanakuhusu nini
 
Back
Top Bottom