Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Msiba umefunikwa hata na habari ya Lissu kurejea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Too bad, hatopata kiki aliyokuwa anaitegemea.
Habari ya taifa kwa sasa ni Hayati Rais mstaafu Benjamin Mkapa.
Right now Lissu is a footnote.
Hapa nilipo sina kiuno. Nilivunjwa kwenye maandamano. Usinifananishe na keyboard warriorsUnaandika tu humu
Ushawahi hudhuria maandamano gani?
Mkuu kwa kuongezea. Watu 29 walizimia wakati wa kuaga. Lkn leo watu wanauza sura kwenye tv. Wako fresh kama wanamsubiria bibi harusiNAKUMBUKA KWA MZEE JN , WATU MTAANI WALIKUA WANALIA SANA, KILA UNAPOPITA NI HUZUNJ NAWATU KULIA.
Inshallah. Atakuwa rais. Majinuni na maruhani acha yanune lkn huu ndo ukweli.Mungu mkubwa. Kamponya huyu baba na mauti kwenye risasi za watu wabaya ili aje kuwa raisi wa hii nchi
Ndo uje uzungumzie mtu mfupi alowatukana watu wapumbavu .Mkuu kwa kuongezea. Watu 29 walizimia wakati wa kuaga. Lkn leo watu wanauza sura kwenye tv. Wako fresh kama wanamsubiria bibi harusi
😂😂😂😂 Basi mkuu, nakuwa mpoleHapa nilipo sina kiuno. Nilivunjwa kwenye maandamano. Usinifananishe na keyboard warriors
Akwende zake huko akapewe anachostahili.Ndo uje uzungumzie mtu mfupi alowatukana watu wapumbavu .
Yeye akapumzike tu ilo ndo lilobaki.Akwende zake huko akapewe anachostahili.
Haya ya mtandao watanzania usiwaamini...yasije kua ya mange kimambiiukiangalia mitandao , msiba wa Mkapa umefunikwa na Lissu
Mkuu bado tu unasafisha MASABURI ya wazungu huko? Na wewe utarudi lini huku ili upate KIKI?Too bad, hatopata kiki aliyokuwa anaitegemea.
Habari ya taifa kwa sasa ni Hayati Rais mstaafu Benjamin Mkapa.
Right now Lissu is a footnote.
Yule sidhani. Atakuwa kichwani anawaza mishe yake tuYeye akapumzike tu ilo ndo lilobaki.
Lkn hamna atakayezimia wala nn... Hata Bi mkubwa wake naye sidhan km atazimia.
Aisee! Dogo mabeberu wamekuharibu sanaTake that
Misiba ya watawala waliongoza kwa mkono wa chuma huwa inasikitisha sana.Yeye akapumzike tu ilo ndo lilobaki.
Lkn hamna atakayezimia wala nn... Hata Bi mkubwa wake naye sidhan km atazimia.
2na mkalibisha sana nyumbn jmbo kaja kipnd hikiHatimaye yule aliyesubiriwa na wengi kishaanza safari ya kurudi nyumbani , maneno matupu hayavunji mfupa , kichupa hiki hapa
Wapemba zaidi ya 1000 aliodhulumu haki zao za kuishi wanamsubiri huko aendako.Akwende zake huko akapewe anachostahili.