Mnyika: Ratiba ya Tundu Lissu kurudi ni ile ile na tarehe 28 atakwenda msibani

Hayo yamesewa na Mhe. Mnyika kupitia mtandao wa twitter
Kwa hiyo, ndo mgeni mashuhuri wa CHADEMA? Yaani anategemewa kupata kura za kutosha kuongoza nchi?
Haya! Tutamwona. Labda atasema ana ajenda gani ya kitaifa zaidi ya kutueleza haki za binadamu na sheria inasema hivi na vile maana sijawahi kusikia akiongelea maendeleo ya nchi.
 
Nimesha andaa bango langu la Mapokezi
Mungu ni mwema
 
Aaaa wapi.kuropoka na kutenda ni tofauti.
Lissu ni hodari wa kupayuka ila kwenye utendaji ni Zero.
angekuwa mtendaji wangempa ukatibu au uwenyekiti kwa hadhi aliyonayo huko ufipa.
 
Aaaa wapi.kuropoka na kutenda ni tofauti.
Lissu ni hodari wa kupayuka ila kwenye utendaji ni Zero.
angekuwa mtendaji wangempa ukatibu au uwenyekiti kwa hadhi aliyonayo huko ufipa.
Kila kitu kinamuda wake.kama angetaka angegombea kama urasi aliutaka na amegombea.
 
Kila kitu kinamuda wake.kama angetaka angegombea kama urasi aliutaka na amegombea.
Sio muda bali sema fedha.Kama huna fedha Chadema huna nafasi ya kugombea Urais.labda uwe wa kaskazini.
 
Duh, mkiambiwa Chadema ni SACCOS muwe mnaelewa. Yaani taarifa za kiofisi inatolewa kwa njia ya twiter
Mkuu kwa Twitter yupo sahihi
Kama angetumia Instagram au Facebook nk nadhani ingeleta ukakasi
 
Acheni kuweweseka bc mkuu...jaribuni kuficha upimbi wenu ... airport ni nyeti ya serikali au nyeti ya yesu wa chatto??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…