Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole ndugu, kama mafarisayo, ulichopungukiwa mwako ni upendo.Leo Jumapili umesha hata wapigia Wazazi wako simu kuwasalimia na kuwaambia unawapenda? Tundu Lisu hakujui na wala akikuona hawezi hata kukusalimia, ongea na Wazazi wako angalau upate hata baraka, ...
JiweAnaitwa nani ?
eehee... Mungu mjalie shujaa mbeba maono ya watanzania afya njema ili kesho aikanyage aridhi ya nchi yake tena!
Kwa hali hii msishangae kukutana na rungu la jemedali MUTUNGI Msajili wa vyama.Endelezeni utaahira wenu mkidhani mko huru kiiiiiivyo.hiiiiiiiiiiiiiiWasalaam .......!
Karibuni kwenye mkesha rasmi hapa Jf wa kumpokea Mkombozi wa Taifa Tundu Lissu.
Leo tutakesha hapa tukiweka mikakati ya kesho pamoja na kufanya dua na sala mahali hapa kwa ajili ya siku ya kesho.
Peoples..........
Wasiojulikana wanatamani wairoge hata ndege ipotee njia,uzuri ndumba zimeshaexpire nguvu zimeisha Sasa ni wakati wa Mungu kulitawala anga lake.
Punguzeni mbwenbwe vijana,Wasalaam .......!
Karibuni kwenye mkesha rasmi hapa Jf wa kumpokea Mkombozi wa Taifa Tundu Lissu.
Leo tutakesha hapa tukiweka mikakati ya kesho pamoja na kufanya dua na sala mahali hapa kwa ajili ya siku ya kesho.
Peoples..........
Of course maisha ni kuhangaika tu, kila mtu anahangaika as long as anaishi ndio maana kufa kunaitwa pumziko la milele. Kwani waliosema wao wanakula raha kuliko mwingine yeyote wako wapi? Waliokimbia 'mahangaiko' kwenye vyama vyao wakaenda kwingine wamepumzika?Chadema mtahangaika sana
Wasalaam .......!
Karibuni kwenye mkesha rasmi hapa Jf wa kumpokea Mkombozi wa Taifa Tundu Lissu.
Leo tutakesha hapa tukiweka mikakati ya kesho pamoja na kufanya dua na sala mahali hapa kwa ajili ya siku ya kesho.
CHADEMA na siasa za MAIGIZO.....
CHADEMA na siasa za MATUKIO....
YENU YA HOVYO hamuyaoni....
Rushwa ya NGONO katika teuzi za WABUNGE WA VITI MAALUM.....
CHAMA KUHODHIWA na wateule wachache....
Kudhibitiwa kwa KILA mwenye mawazo mbadala....
Kufanya siasa za harakati ya chuki na KUCHAFUANA......
Siasa za UKANDA.....
Kukumbatia VIONGOZI WA JUU wenye PERSONALITY DISORDERS na wagonjwa wa AKILI wafungwao mpaka KAMBA pale kinapowapanda......
MNAPOKESHA TAFAKARINI HAYO....
Peoples..........
Ni vzr sana kumpokea ila kwa hio ratiba yako wewe umejiajiri au umeajiriwa mkuu??,,,au umeomba kabisa ruhusa kazin?Kimi nakesha Micasa ya Tabata nikitoka hapa saa 12 asubuh naenda geto majumba sita kunawa uso na kula supu saa 3 najivuta mdogomdogo kwa miguu tu hadi JNIA. Nasubiri 7.20 jembe atue.