Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo Shein amepinduliwa?Kumbuka kiserikali Hussein Mwinyi kwa sasa anatambulika kama Rais ajaye wa Zanzibar, in fact ameshapewa ulinzi wa hali ya juu.
Uchaguzi utafanyika kama formality tu, ila Mwinyi lazima watamtangaza mshindi
Unaweza kusoma na kuelewa ulichokisoma ?Kwahiyo Shein amepinduliwa?
Ni mwalimu kwa taaluma tangu 2015 lakini Serikali ilisema haiajiri walimu wameshajaa.Ni vzr sana kumpokea ila kwa hio ratiba yako wewe umejiajiri au umeajiriwa mkuu??,,,au umeomba kabisa ruhusa kazin?
Unaishi wapi ?Inavyoonekana na Dereva wa Lissu nae anakuja kesho. Siasa za chuki na kuumizana sio siasa ni utumwa. Tusiwatweze watu Tanzania ni yetu sote.
Kesho Lissu aachwe afanye siasa zake na alindwe. Hakuna sababu ya kutufanya watanzania wote tuonekana tuna roho mbaya huko dunianiView attachment 1517881
Labda ndege imshushe masaasiii ndioo atahudhuriaHayo yamesewa na Mhe. Mnyika kupitia mtandao wa twitter.
Taafika kamili ya chama kwa umma:
View attachment 1517771
hivi wana jamii forum lissu ana nini maana nipo huku mpakan mwa tz but msiba wetu wa kitaifa hauzungumziki sana ni lissu tu kuna coaster kama nne hivi ziliondoka leo kuja jiji la makonda kwa ajili ya kumlaki lissuWasalaam .......!
Karibuni kwenye mkesha rasmi hapa Jf wa kumpokea Mkombozi wa Taifa Tundu Lissu.
Leo tutakesha hapa tukiweka mikakati ya kesho pamoja na kufanya dua na sala mahali hapa kwa ajili ya siku ya kesho.
Peoples..........
Kumpokea Lissu siyo siasa! Ni furaha ya Watanzania kumlaki mtu aliyeondoka nchini akiwa mahututi kwa kupigwa marisasi na wasiojulikana wanaojulikana!Inavyoonekana na Dereva wa Lissu nae anakuja kesho. Siasa za chuki na kuumizana sio siasa ni utumwa. Tusiwatweze watu Tanzania ni yetu sote.
Kesho Lissu aachwe afanye siasa zake na alindwe. Hakuna sababu ya kutufanya watanzania wote tuonekana tuna roho mbaya huko duniani
View attachment 1517881
Ulitaka akatolee tamko TBCCM eti? Pumbafu.Duh, mkiambiwa Chadema ni SACCOS muwe mnaelewa. Yaani taarifa za kiofisi inatolewa kwa njia ya twiter
Ni aibu kwa serikali kutumia SILAHA ZA KIVITA kushambulia raia wake MCHANA KWEUPE, eti kwa kuzidiwa hoja tu.Labda ndege imshushe masaasiii ndioo atahudhuria
.Aliewaita malofa na wapuuzi leo awezi kusema tena...poleni sana
Ni aibu kwa serikali na kiongozi mkuu wa nchi kutumia SILAHA ZA KIVITA kushambulia raia wake MCHANA KWEUPE, eti kwa kuwa tu amewazidi hoja. Ni aibu na fedheha kubwa sana.Yaliwapata segerea na bado hamjifunzi! Pamoja na sehemu nyeti za kiusalama wa taifa airport ni mmojawapo. Kuna sehemu za kufanya mkusanyiko ya mihemko ya kisiasa lakini siyo airport hasa kwa mazingira ya msiba wa kitaifa. Naamini safari hii kipigo siyo tu cha jeshi la police, lakini pia majeshi mengine pia halali yao. Sisi wengeni ni kuonya ili msije mkasema hatukuambiwa. SHAURI YENU.
Ni aibu kwa serikali na kiongozi mkuu wa nchi kutumia SILAHA ZA KIVITA kushambulia raia wake MCHANA KWEUPE, eti kwa kuwa tu amewazidi hoja. Ni aibu na fedheha kubwa sana.Jukwaani hapa Jamii forum ni sawa
Ni aibu kwa serikali na kiongozi mkuu wa nchi kutumia SILAHA ZA KIVITA kushambulia raia wake MCHANA KWEUPE, eti kwa kuwa tu amewazidi hoja. Ni aibu na fedheha kubwa sana.Aaaa wapi.kuropoka na kutenda ni tofauti.
Lissu ni hodari wa kupayuka ila kwenye utendaji ni Zero.
angekuwa mtendaji wangempa ukatibu au uwenyekiti kwa hadhi aliyonayo huko ufipa.
Ni aibu kwa serikali na kiongozi mkuu wa nchi kutumia SILAHA ZA KIVITA kushambulia raia wake MCHANA KWEUPE, eti kwa kuwa tu amewazidi hoja. Ni aibu na fedheha kubwa sana.Leo Jumapili umesha hata wapigia Wazazi wako simu kuwasalimia na kuwaambia unawapenda? Tundu Lisu hakujui na wala akikuona hawezi hata kukusalimia, ongea na Wazazi wako angalau upate hata baraka, ...