Mnyika: Ratiba ya Tundu Lissu kurudi ni ile ile na tarehe 28 atakwenda msibani

Mnyika: Ratiba ya Tundu Lissu kurudi ni ile ile na tarehe 28 atakwenda msibani

Kumbuka kiserikali Hussein Mwinyi kwa sasa anatambulika kama Rais ajaye wa Zanzibar, in fact ameshapewa ulinzi wa hali ya juu.
Uchaguzi utafanyika kama formality tu, ila Mwinyi lazima watamtangaza mshindi
Kwahiyo Shein amepinduliwa?
 
Ni vzr sana kumpokea ila kwa hio ratiba yako wewe umejiajiri au umeajiriwa mkuu??,,,au umeomba kabisa ruhusa kazin?
Ni mwalimu kwa taaluma tangu 2015 lakini Serikali ilisema haiajiri walimu wameshajaa.
 
Wasalaam .......!

Karibuni kwenye mkesha rasmi hapa Jf wa kumpokea Mkombozi wa Taifa Tundu Lissu.

Leo tutakesha hapa tukiweka mikakati ya kesho pamoja na kufanya dua na sala mahali hapa kwa ajili ya siku ya kesho.

Peoples..........
hivi wana jamii forum lissu ana nini maana nipo huku mpakan mwa tz but msiba wetu wa kitaifa hauzungumziki sana ni lissu tu kuna coaster kama nne hivi ziliondoka leo kuja jiji la makonda kwa ajili ya kumlaki lissu
 
Inavyoonekana na Dereva wa Lissu nae anakuja kesho. Siasa za chuki na kuumizana sio siasa ni utumwa. Tusiwatweze watu Tanzania ni yetu sote.

Kesho Lissu aachwe afanye siasa zake na alindwe. Hakuna sababu ya kutufanya watanzania wote tuonekana tuna roho mbaya huko duniani
View attachment 1517881
Kumpokea Lissu siyo siasa! Ni furaha ya Watanzania kumlaki mtu aliyeondoka nchini akiwa mahututi kwa kupigwa marisasi na wasiojulikana wanaojulikana!
Tulijichanga miamia kuweza matibabu yake na leo tunashuhudia utukufu wa Mungu mubashara!
 
Labda ndege imshushe masaasiii ndioo atahudhuria
Ni aibu kwa serikali kutumia SILAHA ZA KIVITA kushambulia raia wake MCHANA KWEUPE, eti kwa kuzidiwa hoja tu.
 
Yaliwapata segerea na bado hamjifunzi! Pamoja na sehemu nyeti za kiusalama wa taifa airport ni mmojawapo. Kuna sehemu za kufanya mkusanyiko ya mihemko ya kisiasa lakini siyo airport hasa kwa mazingira ya msiba wa kitaifa. Naamini safari hii kipigo siyo tu cha jeshi la police, lakini pia majeshi mengine pia halali yao. Sisi wengeni ni kuonya ili msije mkasema hatukuambiwa. SHAURI YENU.
Ni aibu kwa serikali na kiongozi mkuu wa nchi kutumia SILAHA ZA KIVITA kushambulia raia wake MCHANA KWEUPE, eti kwa kuwa tu amewazidi hoja. Ni aibu na fedheha kubwa sana.
 
Jukwaani hapa Jamii forum ni sawa
Ni aibu kwa serikali na kiongozi mkuu wa nchi kutumia SILAHA ZA KIVITA kushambulia raia wake MCHANA KWEUPE, eti kwa kuwa tu amewazidi hoja. Ni aibu na fedheha kubwa sana.
 
Aaaa wapi.kuropoka na kutenda ni tofauti.
Lissu ni hodari wa kupayuka ila kwenye utendaji ni Zero.
angekuwa mtendaji wangempa ukatibu au uwenyekiti kwa hadhi aliyonayo huko ufipa.
Ni aibu kwa serikali na kiongozi mkuu wa nchi kutumia SILAHA ZA KIVITA kushambulia raia wake MCHANA KWEUPE, eti kwa kuwa tu amewazidi hoja. Ni aibu na fedheha kubwa sana.
 
Usishangae polisi wakatoa press release kuwa hatujaomba kibali cha kukesha Jamiiforums
 
Leo Jumapili umesha hata wapigia Wazazi wako simu kuwasalimia na kuwaambia unawapenda? Tundu Lisu hakujui na wala akikuona hawezi hata kukusalimia, ongea na Wazazi wako angalau upate hata baraka, ...
Ni aibu kwa serikali na kiongozi mkuu wa nchi kutumia SILAHA ZA KIVITA kushambulia raia wake MCHANA KWEUPE, eti kwa kuwa tu amewazidi hoja. Ni aibu na fedheha kubwa sana.
 
Back
Top Bottom