Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

Hatarii na nusu
 
Sheria inayosema lazima katibu mkuu ndie aandike barua sio mwenyekiti weka kifungu cha hiyo sheria hapa A-ha porojo
 
2015 walimpooza lipumba akapoaaa weee,
tripu hii wamewapooza kina halima na mbowe wakamsahau mnyika, sasa analala mika tu, ka vipi naye wampe kipoozeo atulie. Tatizo la siasa za bongo kila mwanasiasa anatanguliza mbele kwanza maslahi yake binafsi awe mpinzani, awe chama tawala.
 
Sasa angemlaumu nani mkuu ilihali katiba imevunjwa? Yaani unaapishaje wabunge ambao hawajapitishwa na kamati kuu? Huyo Nusrat alijaza lini hizo fomu na kula kiapo cha jaji?

Mkuu Kma Dr Slaa na Zitto waliondoka na CHADEMA haikufa Aisee hta watimuliwe kamati kuu nzima chama kitasimama tu. Baada ya wabunge wote wale kusepa ulitarajia kampeni zingekua za mafanikio vile?

CHADEMA is bigger than individuals who r opportunistic
 
Yap. Let's wait to see. Govt. machinery in action. Who wins eventually - Govt or the wiping majority?
 
Mdee mbona jana kasema vzuri tu kuwa wana baraka kutoka kwa mwenyekiti?

Baraka zinatoka kwa Katibu ndiyo anayesaini form Na. 8D sasa huyo Mwenyekiti alitoa baraka kwa document gani ambayo haitambuliki kisheria au alimpa baraka kwa simu
 
Wananchi ndiyo wanachagua wewe ni nani wakusema CDM haitapata mbunge. Yaani nyie ndiyo maana mwenzenu alisema Lukuvi hawezi kuwa Rais kuna watu wanaamini wao ndo wanaamuwa nani awe Rais wa nchi siyo wapiga kura huu ni ugonjwa mbaya sana ukiugua
Ww itakuwa unaishi ulaya na sio Tanzania

Jina la Rais ajae wa Tanzania kupitia ccm anachagua magufuli kwa taarifa yako
 
Mh. Mbowe hawezi kufanya ujinga wa kitoto namna hii... !! Hawezi kubariki mambo nje ya vikao halali vya chama.
 

We hujuwi unachoongea, CDM iko sahihi hao wahuni wanashugulikiwa na huo uchafuzi hauwezi kutambuliwa na CDM ambayo inaamini katika demokrasia ya kweli. Fanyeni mbinu zote lakini hili dudu la CDM hamliwezi, hiki chama Nyerere alikiri kuwa ni chama sahihi chenye malengo sahihi ya siasa. Yeyote anayepambana na CDM anapoteza muda wake tu
 

Kuna uwezekano mkubwa na Mnyika amepewa pesa,na anafanya analofanya kuwahadaa wafuasi wa Chadema.
Pia kuna uwezekano mkubwa Mnyika alikua anatumia nafasi aliyonayo kuwahadaa wanawake ili wamuhonge apitishe majina yao.
Kama yote sio sahihi basi tulitegemea Mnyika ajiuzulu
 
Upuuzi mtupu....kwa hyo wew shida yako ni Mbowe tu
 
sifikirii kuwa kina mdee ni wajinga, bali nina uhakika ni wajinga.

Inshort mataga huu mtarimbo wa wasaliti umewaganda mnahaha lakini ndiyo hivyo tena tarehe 27 November wanavuliwa uanachama kwa kosa la uasi wanabaki kama wabunge wa mataga.
 
"Kigogo" alionya na k
kigogo wa twitter alionya na kutoa hata habari ya kuwa Mashinji anawsiliana na Esther mpaka namba ya simu na akashauri Chadema wa suspend tawi la wanawake lakini hawakusikia.
Kama dola inahusika kweli ina maana kuna vitisho au blackmail,Halimaalikua amenywea mno na hata Ndugai hakua na ile amsha amsha yake.
Yatapita tu.
 

Wote wanaoona mfumo duma waondoke si viko vyama vingine Kwani wamelazimishwa kuwa CHADEMA ati mfumo dume hivi kuna chama kilikuwa na wagombea ubunge wengi wanawake kama CHADEMA kweli sasa mfumo dume upi huo. Hii ni aibu kwa wanaohamasisha huo uwongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…