Inatosha Wewe kama umesaidiwa na Mbowe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe mzazi wako anakusaidia nini zaidi ya kukuleta duniani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inatosha Wewe kama umesaidiwa na Mbowe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe mzazi wako anakusaidia nini zaidi ya kukuleta duniani?
hata mbowe kakimbia hiyo press conference huoni kuna kitu anaficha?
Haya ni mawazo yakoHuu mchezo nia yake, kwa kauli ya Mnyika (Katibu Mkuu), ni kuilaumu Serikali kama ambavyo wamekuwa wakilaumu Madiwani na Wabunge wakihama.
Kama watawafukuza, kitendo ambacho sitegemei, nguvu ya wanawake itakiua chama, kwa maana kuwa wanawake kwenye chama wanawadharaulika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unafikiri kina Halima ni wajinga?Mataga nakuonea huruma wewe ambaye unajua ukweli ila mahaba ya ccm yamekulevya hadi inabidi ujivue ufahamu.
Ni hivi, tarehe 27 kamati kuu ya chadema ikiongozwa na Freeman Mbowe inawavua uanachama hawa wasaliti 19 mnabaki nao kama wabunge wa mataga.
Mbowe anakusaidia nini?Wewe mzazi wako anakusaidia nini zaidi ya kukuleta duniani?
Huna hoja wewe pimbi, acha kujikweza humu.Hoja hupingwa kwa hoja!
I can see you don't even fathom the meaning of "analytical".
Gimbi wewe.....
Huu mchezo nia yake, kwa kauli ya Mnyika (Katibu Mkuu), ni kuilaumu Serikali kama ambavyo wamekuwa wakilaumu Madiwani na Wabunge wakihama.
Kama watawafukuza, kitendo ambacho sitegemei, nguvu ya wanawake itakiua chama, kwa maana kuwa wanawake kwenye chama wanawadharaulika.
Sasa hapo serikali imefanya mchezo mchafu gani? Nyinyi si ndo mlikuwa mnasifia bavicha na halima, saivi mnataka kutuaminisha Halima na wenzie wamenunuliwa pia, hii inadhihilisha hata wale waliounga juhudi mapema hawakununuliwa, Kama mtaendelea hivyo mjue uchaguzi wa 2025 itakuwa more than disaster kwenu
CHAMA CHENU KIMEPOTEZA IMANI
Kiongozi tufumbue macho ambao tuko gizaniMambo mengine muwe mnauliza kabla hamjaandika aisee.
Hakuna mtu Anabishana na Serikali au anataka kuikomoa serikali na akafanikiwa
Wale wabunge wote wataendelea kwenda bungeni kama kawaida kwa miaka yote 5 na baada ya hapo watakuwa wameshajipanga kuishi bila chadema
Na mwisho wa siku 2025 chadema haitopata hata diwan mmoja
One thing is clear, apart from knowing how to write and read your head is full of imbecility.Huna hoja wewe pimbi, acha kujikweza humu.
Maelezo na maswali uliyoandika ni ujinga tu.Katibu Mkuu wa Chadema ametoa maelezo ya kutosha kuhusiana na hilo suala na msimamo wa chama chake.
Sasa hayo maswali uchwara ya nini? Mnavamia jukwaa kishamba.
archiement ya polepole si kutekeleza ilani ya chama chake hapana bali ni kuona CDM inasambaratika - zoezi ambalo hatakaa afanikiwe hadi anakwenda kaburini...Polepole na genge lake wameisambaratisha chadema,,
Katibu na mwenyekiti nani mkubwa? Mwenyekiti ndie mkubwa. Hugo Mnyika hajielewiKwani sheria inataka majina yapelekwe na Mbowe siyo Katibu Mkuu wa chama huo ni utaratibu wa wapi au wewe uko usingizini na zile fomu anazotakiwa kujaza Katibu inamaana amejaza Mbowe na zikokelewa. Hivi yule aliyekuwa gerezani aliwezaje kuapa mbele ya hakimu, kuna mauzauza mengi sana hii nchi. Ila wananchi tunaona kila kinachoendelea