Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

Ulitaka atoe msimamo wa chama kabla hakijaitisha mkutano, Bongo!
Kwahiyo ni sawa yeye kuja kutueleza mambo ambayo tayari tunayoyafahamu?
Mkutano, vikao vyote ni siasa tu.

Wameshaapishwa wewe unasubiri vikao?
 
Leo Novemba 25, 2020 katibu mkuu wa CHADEMA amezungumza na vyombo vya habari makao makuu ya chama hicho eneo la Ufipa, Kinondoni mada kuu ikiwa uteuzi wa wabunge wa viti maalum ambapo uapisho wao ulifanyika jana bungeni jijini Dodoma jana....
Mnyika umeeleza umeelza mengi ikiwamo hatua za kuwachukulia hatua lakini pia kuwafikisha mbele ya vikao vya chama. Lakini hujesema hatua gani za kisheria ambazo kitaichukulia tume kwa kughushi nyaraka za chama na kufanya ulaghai kwa watanzania hasa kuwafikisha mahakamani.
 
Habari wana Jukwaa. Wakati mtufuano ukiendelea Ndani ya Cdm wamejitokeza baadhi wakijidai wao awapo tayari kugeuka maamuzi ya kamati kuu jambo amabalo ushaidi upo waliwasiliana kwa karibu na Mwenyekiti Bawacha Mhe Mdee ili wawekwe kwenye List . duru zinasema wamepatwa na mshangao kuona 19. Hawapo wao wala marafiki zao baaadhi ya waliokua wanamshinikiza Halima kumshauri Mwenyekiti Mbowe waende bungeni ni Lucy Owenya, Mkuya, G Kiwelu pamoja na Catherine Ruge

NB: Wote wanaojifanya wafia Chama Ni Kwasababu majina yao ayakwenda Na kupitishwa.

Chadema uasi ni mkubwa sana Na Salim Mwalimu na Kiongozi wa juu Mmoja wa Cdm ndio wauhusika wakuu wa Mchezo huu.

Jioni njema
GM.
Haya ulale salama
 
Suala kubwa kama hili kumuachia katibu aongee ni usanii wa Mbowe. Hili ni suala la Mwenyekiti sio katibu.

Katibu ndiye msemaji wa chama acha kuishi kwa mazoea hakuna jambo kubwa la chama kumzidi Katibu na hayo aliyoongea ndiyo yanayotakiwa huyo mwenyekiti angeongelea nini maana yeye hapeleki majina tume wala hasaini form za wabunge. Ameongea anayehusika moja kwa moja na mchana to wa uteuzi wa wabunge katika chama
 
Mkuu nakuonea huruma!

Maana hujui chochote mkuu! Hujui.

Kama unafikiri Mdee kakurupuka basi pole
Mataga nakuonea huruma wewe ambaye unajua ukweli ila mahaba ya ccm yamekulevya hadi inabidi ujivue ufahamu.

Ni hivi, tarehe 27 kamati kuu ya chadema ikiongozwa na Freeman Mbowe inawavua uanachama hawa wasaliti 19 mnabaki nao kama wabunge wa mataga.
 
Majina kapeleka Mbowe hilo mbona linajulikana.

Leo Mnyika anajiuzulu na Nyalandu atakaimu ukatibu mkuu!

Kwani sheria inataka majina yapelekwe na Mbowe siyo Katibu Mkuu wa chama huo ni utaratibu wa wapi au wewe uko usingizini na zile fomu anazotakiwa kujaza Katibu inamaana amejaza Mbowe na zikokelewa. Hivi yule aliyekuwa gerezani aliwezaje kuapa mbele ya hakimu, kuna mauzauza mengi sana hii nchi. Ila wananchi tunaona kila kinachoendelea
 
Mtaji wa CHADEMA ni wanachama wake watiifu lakini wasio na uwezo wa kuchanganua masuala ya kisiasa.

Kuna watu wanamwamini Mbowe kuliko hata wazazi wao [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtaji wa CHADEMA ni wanachama wake watiifu lakini wasio na uwezo wa kuchanganua masuala ya kisiasa.

Kuna watu wanamwamini Mbowe kuliko hata wazazi wao [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe mzazi wako anakusaidia nini zaidi ya kukuleta duniani?
 
Kwa hiyo mlitaka Nisurat aozee mahabusu?
Huyo Nisurat ana jasho lake kwenye chama,
Aliwekwa ndani kwa sababu ya chama, hivyo anastahili hiyo nafasi

Sasa ndo atolewe gerezani usiku kwenda kuapishwa wakati hata form za uteuzi hajajaza na kuapa mbele ya hakimu hapo huo uteuzi umekaaje au zile form za viapo vyao ni hiayari siyo lazima
 
Naomba mwenye Namba ya Halima Mdee atuwekee hapa tuzungumze naye kirafiki
 
Back
Top Bottom