Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waandishi wa habari jifunzeni kuuliza maswali au kaeni kimya kama kanisani kwenye sala.Leo Novemba 25, 2020 katibu mkuu wa CHADEMA amezungumza na vyombo vya habari makao makuu ya chama hicho eneo la Ufipa, Kinondoni mada kuu ikiwa uteuzi wa wabunge wa viti maalum ambapo uapisho wao ulifanyika jana bungeni jijini Dodoma jana...
Hiyo ni rushwa kabisa, kumfunga mdomo..Kwanini umnyime mtu haki yake kumshikilia muda wote huo bila kosa halafu in less than 48 hrs anaapishwa kuwa mbunge??? HII NI RUSHWA KABISA..
Mbona walikuwa viongozi.Nawapongeza sana wakina
Nawapongeza sana wanawake wa chadema kwa kuvunja ule utaratibu unowadharirisha, ili upate uteuzi mpaka uliwe na kiongozi umewaumiza na kuwakoseha nafasi wengi sana
NakaziaWanachadema wanasubiri jambo moja tu hapa...FUKUZA!
ndo wmechoka kuliwa sasa wameteuana kibabe bila kuliwaMbona walikuwa viongozi.
MkuuMtaelewana tu
Ngamia nyie 😂😂😂
kwanini kuniita ngamia tena?Mtaelewana tu
Ngamia nyie 😂😂😂
Ulitaka atoe msimamo wa chama kabla hakijaitisha mkutano, Bongo!Ni bora asingefanya hiyo Press maana imeonyesha jinsi gani CHADEMA ilivyo na mfumo mbovu wa uendeshaji na mawasiliano (kinaendeshwa kama kibanda cha Tigopesa)
Maswali muhimu
1. Ni kweli CHADEMA haikujua kuwa wanachama wake zaidi ya 10 wangeapishwa?
2. Nini msimamo wa CHADEMA kuhusiana na wanachama hao?
3. Kutotambua matokeo ya Uchaguzi mkuu wa October ni maneno ya viongozi au msimamo wa Chama?
4. Je mwenyekiti hajui chochote kuhusiana na swala hili?
Mataga hawa watu wenu tarehe 27 tunawapiga chini wanabaki kama wabunge wa mataga full stopMkuu wewe ni kidagaa tu hapo chadema,
Hujui chochote kinachoendelea
Mkuu nakuonea huruma!Mataga hawa watu wenu tarehe 27 tunawapiga chini wanabaki kama wabunge wa mataga full stop
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ruzuku babaNataka kisikia maneno mawili,,,,wamefutwa uanachama
Naomba nikazie tenaNakazia
Na wewe unajifanya analytical...kumbe kiazi tu.Ni bora asingefanya hiyo Press maana imeonyesha jinsi gani CHADEMA ilivyo na mfumo mbovu wa uendeshaji na mawasiliano (kinaendeshwa kama kibanda cha Tigopesa)
Maswali muhimu
1. Ni kweli CHADEMA haikujua kuwa wanachama wake zaidi ya 10 wangeapishwa?
2. Nini msimamo wa CHADEMA kuhusiana na wanachama hao?
3. Kutotambua matokeo ya Uchaguzi mkuu wa October ni maneno ya viongozi au msimamo wa Chama?
4. Je mwenyekiti hajui chochote kuhusiana na swala hili?
Mtu hawezi kuwa muasi kwa kufanya maamuzi kwenye mali yake binafsi
Daah!! Siasa za bongo pasua kichwahata ningekuwa mimi ....siwezi kukubali nipoteze biashara wakati nimewekeza