Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

FB_IMG_16063013389565567.jpg


MAGUFULI4LIFE.
 
UVCCM mnajitahidi kweli, mnaanzisha uzi halafu mnaalikana kuchangia. Ina maana hamjasikiliza maelezo ya Mnyika leo, au mnataka chadema wakurupuke kila mmoja kutoa maamuzi ili mpate sababu ya justify uhuni mlioufanya wa kufoji fomu za hao kinamama?
 
Huu mchezo nia yake, kwa kauli ya Mnyika (Katibu Mkuu), ni kuilaumu Serikali kama ambavyo wamekuwa wakilaumu Madiwani na Wabunge wakihama.

Kama watawafukuza, kitendo ambacho sitegemei, nguvu ya wanawake itakiua chama, kwa maana kuwa wanawake kwenye chama wanawadharaulika.
Haya ni mawazo yako
 
Mataga nakuonea huruma wewe ambaye unajua ukweli ila mahaba ya ccm yamekulevya hadi inabidi ujivue ufahamu.

Ni hivi, tarehe 27 kamati kuu ya chadema ikiongozwa na Freeman Mbowe inawavua uanachama hawa wasaliti 19 mnabaki nao kama wabunge wa mataga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unafikiri kina Halima ni wajinga?

Kina Lijuakali waliporudi bungeni baada ya kina Mbowe kugomea bunge kisa corona mbona walifukuzwa bila kuitwa? Alafu hawa wanabembelezwa tena wamewekewa na tarehe ya mbali ili wapate muda wa kujiandaa unafikir ni kwanini?

Kwa taarifa yako hayo yote yliyofanyika yana baraka zote za Mbowe, na baada ya tarehe 27 utajiona mjinga sana.
Na hata Mnyika anajua ila wana buy time ili nyie wajinga msivurugike mazima.
 
Hoja hupingwa kwa hoja!
I can see you don't even fathom the meaning of "analytical".
Gimbi wewe.....
Huna hoja wewe pimbi, acha kujikweza humu.
Maelezo na maswali uliyoandika ni ujinga tu.Katibu Mkuu wa Chadema ametoa maelezo ya kutosha kuhusiana na hilo suala na msimamo wa chama chake.
Sasa hayo maswali uchwara ya nini? Mnavamia jukwaa kishamba.
 
Hivi uongo utawasaidia nini?

1. Mtendaji Mkuu wa Chama ni Katibu Mkuu kwa hivyo ni wajibu wake kutoa matamko nyeti yanayohusu chama chake. Yeye ndie aliyepaswa kuandika barua za utambulisho na sio Mwenyekiti.

2. Hamna mahali Halima aliko mtaja Mbowe kama mtoa baraka. Mbowe ametajwa kama Mwenyekiti wa chama kilichowafikisha walipofika.

3. Sio lazima aongee yeye kila wakati. Kila chama kina utaratibu wake.

Amandla....
 
Huu mchezo nia yake, kwa kauli ya Mnyika (Katibu Mkuu), ni kuilaumu Serikali kama ambavyo wamekuwa wakilaumu Madiwani na Wabunge wakihama.

Kama watawafukuza, kitendo ambacho sitegemei, nguvu ya wanawake itakiua chama, kwa maana kuwa wanawake kwenye chama wanawadharaulika.

Kwa namna hali ya uchaguzi ilivyokuwa na kwa jinsi jumuiya za kimataifa zinavyochukulia hao ni kufukuzwa tu kama CHADEMA kinataka kuendelea kuwepo katika ramani kisipowafukuza hao wananchi watakosa imani. Hao wafukuzwe wote kwa umoja wao ili waende huko CCM na ubunge wao wa viti maalum
 
Sasa hapo serikali imefanya mchezo mchafu gani? Nyinyi si ndo mlikuwa mnasifia bavicha na halima, saivi mnataka kutuaminisha Halima na wenzie wamenunuliwa pia, hii inadhihilisha hata wale waliounga juhudi mapema hawakununuliwa, Kama mtaendelea hivyo mjue uchaguzi wa 2025 itakuwa more than disaster kwenu
CHAMA CHENU KIMEPOTEZA IMANI

Kama hakuna serikali hivi yule aliyekuwa mahabusu ilikuwaje akatolowa usiku maana utaratibu hata kama DPP hataki kuendelea na kesi huwa hiyo kauli inatolewa na Wakili wa serikali mbele ya hakimu sasa huko kutolewa kwa usiku kumekaaje. Huyo DPP mbona hakuiambia mahakama. Hapo haki haijaonekana ikitendeka. Na je huyo aliyekuwa mahabusu ile form Na. 8D alijaza lini na kuapa mbele ya hakimu. Haya mambo yanatia hasira sana. Mara wapinzani hawatakiwi wanachelewesha maendeleo sasa wamebakia CCM peke yao wanaanza kutafuta wapinzani kwa nguvu wa nini wakati wanachelewesha maendeleo
 
Kwa sasa Kauli ya Katibu Mkuu ambaye ndiyo mtendaji Mkuu wa chama ndiyo inasimama. UVCCM msijaribu kupotosha mtahangaika sana!!
 
Hakuna mtu Anabishana na Serikali au anataka kuikomoa serikali na akafanikiwa

Wale wabunge wote wataendelea kwenda bungeni kama kawaida kwa miaka yote 5 na baada ya hapo watakuwa wameshajipanga kuishi bila chadema

Na mwisho wa siku 2025 chadema haitopata hata diwan mmoja

Wananchi ndiyo wanachagua wewe ni nani wakusema CDM haitapata mbunge. Yaani nyie ndiyo maana mwenzenu alisema Lukuvi hawezi kuwa Rais kuna watu wanaamini wao ndo wanaamuwa nani awe Rais wa nchi siyo wapiga kura huu ni ugonjwa mbaya sana ukiugua
 
Huna hoja wewe pimbi, acha kujikweza humu.
Maelezo na maswali uliyoandika ni ujinga tu.Katibu Mkuu wa Chadema ametoa maelezo ya kutosha kuhusiana na hilo suala na msimamo wa chama chake.
Sasa hayo maswali uchwara ya nini? Mnavamia jukwaa kishamba.
One thing is clear, apart from knowing how to write and read your head is full of imbecility.
If he has offered sufficient and reliable information then who are you to answer for Him.

Simbilisi mweusi wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Polepole na genge lake wameisambaratisha chadema,,
archiement ya polepole si kutekeleza ilani ya chama chake hapana bali ni kuona CDM inasambaratika - zoezi ambalo hatakaa afanikiwe hadi anakwenda kaburini...
 
Kwani sheria inataka majina yapelekwe na Mbowe siyo Katibu Mkuu wa chama huo ni utaratibu wa wapi au wewe uko usingizini na zile fomu anazotakiwa kujaza Katibu inamaana amejaza Mbowe na zikokelewa. Hivi yule aliyekuwa gerezani aliwezaje kuapa mbele ya hakimu, kuna mauzauza mengi sana hii nchi. Ila wananchi tunaona kila kinachoendelea
Katibu na mwenyekiti nani mkubwa? Mwenyekiti ndie mkubwa. Hugo Mnyika hajielewi

Bosi wake kama kapeleka yuko sahihi boss
 
Kina Makamba, Membe, Kinana, Nape, Etc walivyomsema mwenyekiti wa Lumumba, Waliitwa na Mwenyekiti au Katibu wa chama?


Ndani ya Chama kila kitu kinaongozwa kwa sheria na kanuni.
 
Back
Top Bottom